Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

mahenda255

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
513
Reaction score
691
Habari za asubuhi wakuu!

Nimejaribu kupitapita kwenye mitandao ya kijamii nikitafuta gari used kwa mtu angalau na mie nipate usafiri hapa mjini.

Nimeona madalali wanapost gari hizi kwa bei ya kutupa, ukizingatia ni SUV na specific sawa na gari kama harrier na Kruger lakini nashangaa kukuta no.D iliyosimama inauzwa mil.6[emoji15]

Au shida ni upatikanaji wa spare?
 
Watu wengi Africa wanamiliki Toyota na sio Nissan kwa sababu ya maintenance costs. Spares za Nissan ni aghali sana ukilinganisha na Toyota.
 
kaka ukiwa na hela nyingi na rumion...mimi ntakuchukulia mchepuko wako kwa premio
hapa namaanisha premio ni nzuri zaidi
Mimi nipo kwenye utata , Kati ya Nissan Duals na Premiho ipi ipo poa , uwezo wa kuagiza iliyotembea below 50000 miles , yyte Kati ya hzo ninao , nasita kwenye Premiho sababu naona kama ipo down Sana
 
Watanzania washamba sana ukiwa huna pesa kelele mingi sana, gari ni pesa mara muonekano mara nyoko, Nunua gari tumia pesa Murano hazina shida miaka ya 2012-13-14 watu wakiongea shit sana kuhusu Raum Leo Yako wapi, tumieni pesa, Kila siku mnashinda bar na lodge na mademu uoga wa kishamba
 
Back
Top Bottom