Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Yeah inachanganya fasta sana tho inategemea na dere yukoje kikubwa stability ipo na comfort kiasi chake ipo sio to the maximum kama wakina benz wagon hapana 😀😀 yaani haichoshi na imetulia barabarani kuna sehemu ihumwa kuna hilux alikuwa anaomba kupita namimi nilikuwa nyuma yake sasa ameomba jamaa wa mbele kamkazia mimi nilivyochungulia nikasema ngoja nimtie hasira nikamkata nikarudi kwenye mwendo wa kawaida nikaona jamaa akaona nimemdharau akanila kichwa nikamkuta nane nane 😀😀😀.Kana mbio lakini