Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

Wa bongo bwana,mmekaririsha toyota tu,hivi hiyo takataka unaaweza ukailinganisha na AUD?? embu jitambueni basi
Hatukatai audi ni nzur.gar zote za mzungu zimekaza sana.na kama unajiweza kiuchumi sio wa upendo na miujiza.eniwei wewe mkuu unatumia Audi ipi?
 
A4 ya 2010 naemjoy sana hii chumamwaka wa pili sasa aijawahi hangaika nayo zaidi ya svc tu na tyre,njiani sijaona manyanyaso kabisa japo inahitaji umakini sana kwa maana yakuepuka mikono mingi.
 
Nawashauri ndugu zangu hamieni kwa Mjerumani,hakuna stress,toyota zilo nzuri ila safety,speed na confotability jamaa yupo sawa kabisa.
 
Najichanga hapa nimvute kaka yake q5 ,najua mwaka haupinduki huu.
 
Aise naikubali sana ...ntaanza nayo life hyo nikipata michuzi mingi naruka na crown athlete
Ninaipenda sana hii gari lakini sijawahi imiliki. Mwanzoni bajeti iliyumba, nikaishia kununua Toyota Will VS na kukakaa nayo miaka 7. Nikasema next car itakuwa Premio 2nd generation. Kutokana na changamoto ya barabara (kuhamia nje kdg ya mji), nikaona nitaiburuza sana. Nikachukua Voltz.
 
Mibovu hiyo migari!

Nissan ni gari zinazotumia umeme kwa kiasi kikubwa sana! Kila kitu una-control kwa vi-button pale kwenye dashboard au steering ya dereva. Gari za namna hiyo zikizingua kutokana na makuzi na mtindo wetu wa maisha tunapeleka garrage bubu, zinarudi na vilema vingine baada ya muda shida zinaongezeka na zinakuwa nyingi...., huwa ni big-deal! Na hiyo mi-murano huwa ni mibovu sana ndomana inauzwaga bei chee
 
premio hizi new model nzuri sana ila hata voltz nayo sio mbaya usisahau tu kuifungia mziki mkubwa sana
 
Mibovu hiyo migari!

Nissan ni gari zinazotumia umeme kwa kiasi kikubwa sana! Kila kitu una-control kwa vi-button pale kwenye dashboard au steering ya dereva. Gari za namna hiyo zikizingua kutokana na makuzi na mtindo wetu wa maisha tunapeleka garrage bubu, zinarudi na vilema vingine baada ya muda shida zinaongezeka na zinakuwa nyingi...., huwa ni big-deal! Na hiyo mi-murano huwa ni mibovu sana ndomana inauzwaga bei chee
Usiseme mbovu mzee,sema hakuna mafundi wanaoziweza izo gari,ila ni imara sana ukiweza kuzimantain
 
Woote wachumba,nina VW Golf mnyama 260 cc 1400,kila weekend Dodoma dar,hao kina crown ,Hilux wananichukiaga mashine minazo kula sahani moja ni Ford na ndugu zake wa hitler.karibuni huku jamani nikutamu
Mkuu hapa umesema kweli..kuna rafiki yangu anamiliki huu mnyama ni hatari na nusu
 
Ninaipenda sana hii gari lakini sijawahi imiliki. Mwanzoni bajeti iliyumba, nikaishia kununua Toyota Will VS na kukakaa nayo miaka 7. Nikasema next car itakuwa Premio 2nd generation. Kutokana na changamoto ya barabara (kuhamia nje kdg ya mji), nikaona nitaiburuza sana. Nikachukua Voltz.
Will vs hii hii ya kukaa miaka 7. Itakua ipo hal gan? Mana zilikuwa discontinued kutengenezwa
 
Ambayo ni lita ngapi?? Nilijaribu kumuelewesha jamaa,crown ni takataka mbele ja mjerumani,nikamapa mfano hai kabisa VW polo Vivo,,jiko ni 1400 tu,ila unapata radha na unafuu wa mafuta kuliko crown,ukitoka dar to dom,hakuna gari ya kukutisha kabisa sasa unataka nini.
Siyo watu wote wanapesa za kuungaunga kama wewe hata waogope gharama ya mafuta.
 
Will vs hii hii ya kukaa miaka 7. Itakua ipo hal gan? Mana zilikuwa discontinued kutengenezwa
Gari ni matunzo. Itaishi muda mrefu ukiitunza. Niliiagiza Oktoba 2014, ikafika Disemba 2014. Ilikuwa ni model ya 2001. Nimeiuza mwaka huu July 2023. . Injini yake ni 1ZZ-FE ambayo ipo kwenye Toyota nyingi sana.

Iliwahi kugongwa na kupasua taa za nyuma na bumper lake na vyote nilivipata hapahapa Dar bila kuagiza tena ilipigwa simu moja tu, spare parts zote zikapatikana. Niliiuza baada ya kuhamia nje kdg ya mji ambako barabara si rafiki sana kwa gari za chini.
 
Back
Top Bottom