Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

Siyo watu wote wanapesa za kuungaunga kama wewe hata waogope gharama ya mafuta.
Kwqnini unanihukumu kuwa na pesa za kuungaunga ndugu?? Kubana matumizi hakuingiliani na kuwa na pesa asee,nina VX V8 cc4000+ na ni petrol engine,sijawahi kuipaki kwa kuogopa wese sasa nakushangaa unavyo nihukumu
 
Mzee kila gari unayo mara golf...mara polo vivo mara aud A4 2010 saizi tena vx v8[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nimpenzi wa ndiga br,na bado najichanga niongeze,ukifika kwangu utaamjni ninayo kwambia,mimi nimlevi wa magari
 
Sio kuifuata tu,wewe maliza kisahani chako chenye 180 mimi nakupa 220 tu,nakwambia pale mbande mbona nawatoaga kamasi kibao tu,usicheze na golf gti ndugu yangu,stability kiukweli ipo yakutosha kabisa,kigari nikizuri asee mimi ninamapngo wa kuagiza ya 2018 japo bei ni yamoto sana.
Hivi kuna golf GTI yenye 1400cc mkuu?
 
Kwqnini unanihukumu kuwa na pesa za kuungaunga ndugu?? Kubana matumizi hakuingiliani na kuwa na pesa asee,nina VX V8 cc4000+ na ni petrol engine,sijawahi kuipaki kwa kuogopa wese sasa nakushangaa unavyo nihukumu
Kubana matumizi ndiyo kitu gani kwa mwenye pesa?.
 
Kwqnini unanihukumu kuwa na pesa za kuungaunga ndugu?? Kubana matumizi hakuingiliani na kuwa na pesa asee,nina VX V8 cc4000+ na ni petrol engine,sijawahi kuipaki kwa kuogopa wese sasa nakushangaa unavyo nihukumu
weee zombiiiii
simba la masimba dangoteeee
 
Kila Nissan wakitoa gari lazima watoe boko tu Nissan xtrail , Nissa Murano , Nissan dualis zote zimeonekana Ni gar za hvyo
Unacho kisema si kweli hizo gari zote ziko bomba sana tatizo la watanzani ni kutaka kupita njia za panya kwenye kila kitu, kuna vitu vingine havitaki njia za panya,

Nissan gari zao hasa hizi ndogo zinahitaji sana ufuate maelekezo na sio kupita shortcut

Mfano umeambiwa nissan murano tumia oil 0W-20 wewe unaenda kwa fundi john anakwambia.
" oil mbona zinaingiliana tuu kazi yake si ni kulainisha vyuma tuu! ,weka hata 15w - 40 (iliyopo hapo kwake) ina piga tu kazi fresh mbona juma aliweka kwenye prado yake anatumia hadi leo " 😀

Na wewe unakubali kichwa kichwa mnaweka oil ambayo haipo kwenye maelekezo ya gari hiyo ,matatizo yakianza mnaanza kusingizia gari.
 
Back
Top Bottom