Wa bongo bwana,mmekaririsha toyota tu,hivi hiyo takataka unaaweza ukailinganisha na AUD?? embu jitambueni basiNimemrushia taulo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa bongo bwana,mmekaririsha toyota tu,hivi hiyo takataka unaaweza ukailinganisha na AUD?? embu jitambueni basiNimemrushia taulo
Una miliki AUDI gani boss?Wa bongo bwana,mmekaririsha toyota tu,hivi hiyo takataka unaaweza ukailinganisha na AUD?? embu jitambueni basi
Hatukatai audi ni nzur.gar zote za mzungu zimekaza sana.na kama unajiweza kiuchumi sio wa upendo na miujiza.eniwei wewe mkuu unatumia Audi ipi?Wa bongo bwana,mmekaririsha toyota tu,hivi hiyo takataka unaaweza ukailinganisha na AUD?? embu jitambueni basi
A4 ya 2010 naemjoy sana hii chumamwaka wa pili sasa aijawahi hangaika nayo zaidi ya svc tu na tyre,njiani sijaona manyanyaso kabisa japo inahitaji umakini sana kwa maana yakuepuka mikono mingi.Hatukatai audi ni nzur.gar zote za mzungu zimekaza sana.na kama unajiweza kiuchumi sio wa upendo na miujiza.eniwei wewe mkuu unatumia Audi ipi?
Hongera Mtaalam! Hizo gari tunazitaka Tatizo wengine tunaishi mikoani acha tu watu wa D'salam muendelee ku enjoy.Najichanga hapa nimvute kaka yake q5 ,najua mwaka haupinduki huu.
Ninaipenda sana hii gari lakini sijawahi imiliki. Mwanzoni bajeti iliyumba, nikaishia kununua Toyota Will VS na kukakaa nayo miaka 7. Nikasema next car itakuwa Premio 2nd generation. Kutokana na changamoto ya barabara (kuhamia nje kdg ya mji), nikaona nitaiburuza sana. Nikachukua Voltz.Aise naikubali sana ...ntaanza nayo life hyo nikipata michuzi mingi naruka na crown athlete
Kila Nissan wakitoa gari lazima watoe boko tu Nissan xtrail , Nissa Murano , Nissan dualis zote zimeonekana Ni gar za hvyo
Pewa koka baridi ulipo,nissani sio gari mbaya mkuu ni vile tunaaminishwa na mafundi uchwara,br wangu anayo mwaka wa kumi sasa na hajawahi lalamika,chuma inaenda km 200000+ saafi kabisaKibongo bongo mentality zetu za minimum maintenance na cheap parts Nissan utaichukia tu.
premio hizi new model nzuri sana ila hata voltz nayo sio mbaya usisahau tu kuifungia mziki mkubwa sanaNinaipenda sana hii gari lakini sijawahi imiliki. Mwanzoni bajeti iliyumba, nikaishia kununua Toyota Will VS na kukakaa nayo miaka 7. Nikasema next car itakuwa Premio 2nd generation. Kutokana na changamoto ya barabara (kuhamia nje kdg ya mji), nikaona nitaiburuza sana. Nikachukua Voltz.
Usiseme mbovu mzee,sema hakuna mafundi wanaoziweza izo gari,ila ni imara sana ukiweza kuzimantainMibovu hiyo migari!
Nissan ni gari zinazotumia umeme kwa kiasi kikubwa sana! Kila kitu una-control kwa vi-button pale kwenye dashboard au steering ya dereva. Gari za namna hiyo zikizingua kutokana na makuzi na mtindo wetu wa maisha tunapeleka garrage bubu, zinarudi na vilema vingine baada ya muda shida zinaongezeka na zinakuwa nyingi...., huwa ni big-deal! Na hiyo mi-murano huwa ni mibovu sana ndomana inauzwaga bei chee
Mkuu hapa umesema kweli..kuna rafiki yangu anamiliki huu mnyama ni hatari na nusuWoote wachumba,nina VW Golf mnyama 260 cc 1400,kila weekend Dodoma dar,hao kina crown ,Hilux wananichukiaga mashine minazo kula sahani moja ni Ford na ndugu zake wa hitler.karibuni huku jamani nikutamu
Will vs hii hii ya kukaa miaka 7. Itakua ipo hal gan? Mana zilikuwa discontinued kutengenezwaNinaipenda sana hii gari lakini sijawahi imiliki. Mwanzoni bajeti iliyumba, nikaishia kununua Toyota Will VS na kukakaa nayo miaka 7. Nikasema next car itakuwa Premio 2nd generation. Kutokana na changamoto ya barabara (kuhamia nje kdg ya mji), nikaona nitaiburuza sana. Nikachukua Voltz.
Wengi pesa nizamadafu!Murano inataka pesa siyo kelele nyingi.Sio kwamba sisi watumiaji ndio hatujui kuyatumia? Maana kuna watu wanayo na huoni wakilalamika zaidi ya kupiga service ya maana bas
Siyo watu wote wanapesa za kuungaunga kama wewe hata waogope gharama ya mafuta.Ambayo ni lita ngapi?? Nilijaribu kumuelewesha jamaa,crown ni takataka mbele ja mjerumani,nikamapa mfano hai kabisa VW polo Vivo,,jiko ni 1400 tu,ila unapata radha na unafuu wa mafuta kuliko crown,ukitoka dar to dom,hakuna gari ya kukutisha kabisa sasa unataka nini.
Kabisaaa japo hawajahi sema mafuta inatumiajeWengi pesa nizamadafu!Murano inataka pesa siyo kelele nyingi.
Gari ni matunzo. Itaishi muda mrefu ukiitunza. Niliiagiza Oktoba 2014, ikafika Disemba 2014. Ilikuwa ni model ya 2001. Nimeiuza mwaka huu July 2023. . Injini yake ni 1ZZ-FE ambayo ipo kwenye Toyota nyingi sana.Will vs hii hii ya kukaa miaka 7. Itakua ipo hal gan? Mana zilikuwa discontinued kutengenezwa