New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
Taa ya umeme mpya ni 3000+, fundi akikuambia kuitengeneza hy mbovu ni 2000 utakubali kuitoa hy pesa?
Earphones mpya ni 5000+, fundi akikuambia kuitengeneza hy mbovu no 2500+ utakubali kuitoa hy pesa?
Au ndio yale yale ya kivuko kipya ni 8B ila kukarabati kivuko cha zamani ni 7B, afu mnaona ni sawa
Nshakutana na earphones zinauzwa buku jeroEarphones wanazovaa wabongo wengi ni 3k
Kama earphones ni 3k unahisi matengenezo yatakuwa ni shingapi?
mbona watu wanauza mpaka pipi za hamsini barabarani washindwe kurekebisha hivyo vituTaa ya umeme mpya ni 3000+, fundi akikuambia kuitengeneza hy mbovu ni 2000 utakubali kuitoa hy pesa?
Earphones mpya ni 5000+, fundi akikuambia kuitengeneza hy mbovu no 2500+ utakubali kuitoa hy pesa?
Au ndio yale yale ya kivuko kipya ni 8B ila kukarabati kivuko cha zamani ni 7B, afu mnaona ni sawa
Mbona unatoa mifano isiyoendana Mkuu, sasa pipi kuuzwa hamsini na mtu kurekebisha hvy vifaa kunaingiliana vp.mbona watu wanauza mpaka pipi za hamsini barabarani washindwe kurekebisha hivyo vitu
Bei na gharama ya kununua mpya hazijaachana sana.Hivi kwanini wadau Tanzania nzima haina fundi wa earphones na chaji za simu, Taa za umeme ?
Taja vitu vingine ambavyo havina fundi nchi nzima.
Mnachekesha sometimes.Tanzania hii mafundi hamna.
Waliopo ni wabadilisha spea.
Hivyo ulivyovitaja havina spea madukani
Zipo hadi za chini ya buku jeroNshakutana na earphones zinauzwa buku jero
Na pia wahandisi wanalipwa pesa nzuri na makampuni kuhakikisha vitu vinaharibika baada ya muda na visiweze kutengenezeka(kuanzia magari, kompyuta hadi simu) ili kuongeza manunuzi.Taa ya umeme mpya ni 3000+, fundi akikuambia kuitengeneza hy mbovu ni 2000 utakubali kuitoa hy pesa?
Earphones mpya ni 5000+, fundi akikuambia kuitengeneza hy mbovu no 2500+ utakubali kuitoa hy pesa?
Au ndio yale yale ya kivuko kipya ni 8B ila kukarabati kivuko cha zamani ni 7B, afu mnaona ni sawa
Hadi 2k sasa nani atakuwa tayari Kufanya kazi ambayo Haina faidaNshakutana na earphones zinauzwa buku jero
Mimi situmii Eerphone hivi karibuni nikiwa safari nikahitaji kumsikiliza dada wa Taifa na ili nisiwe msumbufu kwa jirani yangu basi ikanibidi ninunue kwa wanauza stend. Ajabu aliniambia buku1 nikampa mpaka sasa ipo japo matumizi yaliishia kumsikiliza mange kimambi tu. Naju hadi sasa ni nzima bad.Earphones wanazovaa wabongo wengi ni 3k
Kama earphones ni 3k unahisi matengenezo yatakuwa ni shingapi?