Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Where did you reach with your education?
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa nina mashaka na elimu yako ... iv umesoma iyo link niliyokupatia vizuri ? embu tazama nairobi inachangia kwa % ngapi alafu uone anae mfuatia anachangia kwa % ngapi ..huge gap ... na mm hata kabla sijatafuta iyo taarifa nilihisi tu nairobi lzm inavyanzo vingi vya makusanyo ya mapato na inachangia kwa kiasi kikubwa .mfano tu wa real estate kwa nairobi ni kubwa kuliko nchi nyingi za afrika mashariki ... ss ww ukataka kuleta ukanja nja walo wa kutoroka shule ukazani humu una chat na MAZWAZWA kama unao piga nao story hapo kajiado ? weeeeeeee UTAWAAMBIAAAAA NN WATUUUUUUUUUUUUUU
Sent using Jamii Forums mobile app