Hivi kwanini Kenya ipo hivi?

Where did you reach with your education?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Where did you reach with your education?

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha Maneno ya mkosaji ndio kama hayo.... HOJA yako ya AWALI ilikuwa ni eti nairobi sio mji tajiri hapo na ukataja KIAMBUU county ..nika kuprove wrong know unaleta story zingine... bro nakutakia asubuhi njema let go and hustle for the our family prosperity
 
Najua story za shule hamjaipenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ya wakenya tuwaachie wenyewe wakenya kuhusu aliyewachorea hawakawii kuja kulialia humu kuwa tumehack kijiramani chao na kuchora vitu vya ajabu,tunajua ipo siku wataanza kulalamikia hili kama walipodai tumewaibia mawingu ya mvua,yaani ni wajinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha, unataka kutoka nje ya mada, muhimu ni kwamba Kenyans suffer from poverty related problems than any other citizens in the region, apart from Somalia and South Sudanese

Sent using Jamii Forums mobile app
That's the reason I told you to go back to school, ama ukiona haiwezekani then go to your usual economic field(witchcraft). Cholera is not a poverty disease, it's an hygienic disease.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii huchangia sana katika kuifanya Tanzania kuwa maskini wa kutupwa, wilaya kuubwa hadi mkuu wa wilaya anamaliza miaka hajawahi kuitembelea yote, halafu mambumbubu ya CCM yanaona hii ni sifa.
Kwa nini mnataka kulekibisha katiba kuondoa counties kwamba zinamaliza hela na hakuna cha maana?
 
Upumbavu wako wa Kikuyu na Kalenjin mwisho Namanga, huku sisi ni watu tinaojitambua na kujitawala, umeshindwa kujenga hoja unaanza kuangalia vitu kidogo, stupid kabisa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali wewe hapo unayejenga hoja kwa kutaja vitu vya kipumbavu ambavyo havihusiani na mada hata kidogo kama makabila. Mimi niliyekuelimisha tofauti ya states na counties na kwamba USA haina counties 52 pekee yake nimekosea sana. 😎
 
Colonial boundaries extend to countries ,Tanganyika unayoijia creation ya mkoloni. Shame kuheshimu mipaka ya mkoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…