NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
You're too stupid to understand. I'll let my case rest.Ni kipi nisichojua kuhusu failed Kenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You're too stupid to understand. I'll let my case rest.Ni kipi nisichojua kuhusu failed Kenya?
Wakenya msio na akili najua mtakuja kuachia povu hapa lakini mjue tu kutokana na utitiri wa vijicounties vidogo lazima kuwe na unequal distribution of central government resources na pia ni wastage of resources kuhudumia vijicounties vidogo vidogo wakati ungeweka viunganisha ikawa County moja
Kwenye kila county lazima kuwe na assemblies, administration buildings, civil servants and other loads of expenses ambazo ni hopeless kwa hivyo vijicounties vilivyosongamana kama chawa.