Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki? 😡😡😡 Ni mimi tu au nitafute soksi za chuma??? Kwa sababu nimechoka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja me nifute, sijui kwanini tulikua na mawazo sawa😂View attachment 3198600
Braza sugua miguu na uipake mafuta, hata wewe ndo ungekua hiyo soks ungechanika tu.....
Mkuu jitahidi kuwa unafua sox kila jioniView attachment 3198594
Ivi kwanini kila sox nazonunua zinaishia ivi hata miezi 3 haifiki😡😡😡 Ni mimi tu au nitafute sox za chuma??? Kwa sababu nimechoka
Acha tu ndo aone kuwa soksi hazina tatizo, yeye ndio tatizo....Ngoja me nifute, sijui kwanini tulikua na mawazo sawa😂
Expert yan ndio mpaka uzoom jamanView attachment 3198600
Braza sugua miguu na uipake mafuta, hata wewe ndo ungekua hiyo soks ungechanika tu.....
Nlikua naangalia chanzo cha tatizo 😁Expert yan ndio mpaka uzoom jaman
Hahah😄😑Acha tu ndo aone kuwa soksi hazina tatizo, yeye ndio tatizo....
Ana "makenya"? eti mlongo..!! Au "magagau"?Sugua miguu mkuu
Mwanaume unasuguaaje miguu unataka kuwa shogaNlikua naangalia chanzo cha tatizo 😁
Shemela, umetishaView attachment 3198600
Braza sugua miguu na uipake mafuta, hata wewe ndo ungekua hiyo soks ungechanika tu.....
Kumbe kuwa na magaga ndio urijali, watu mna siri sanaQ
Mwanaume unasuguaaje miguu unataka kuwa shoga
Soksi za afu tatu zinamlalamisha na kuzianzishia uzi, ataweza kweli kununua boxer ya 3.2M?Unatembea umbali mrefu Kila siku na viatu vya mokasini. Bila shaka wewe ni mwalimu. Si ununue hata ka bodaboda ili upunguze kidogo kutembea mwendo mrefu?
Uyoo kwanza atakua yupo mkoani huko dar salama hukuti mtu ana miguu mikavu ivyooKumbe kuwa na magaga ndio urijali, watu mna siri sana