Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

Nlikua naangalia chanzo cha tatizo 😁
Niko nje ya mada kidogo.. kwanini nikienda kuwatembelea watu wangu makwao huwa wanasisitiza niingie tu hivyohivyo na viatu bila kuvua? Je, ni ukarimu wao au kuna la zaidi?
 
View attachment 3198594
Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki? 😡😡😡 Ni mimi tu au nitafute soksi za chuma??? Kwa sababu nimechoka!
aise!,
gentleman,
itakua unakata mitaa by foot umbali mrefu sana hadi vitu vinapata moto,

halafu hizo socks huwa zinaisha sambamba na viatu kwenye kisigino vinaisha kimlalomlalo au kisulisuli kwa lugha ya kisasa, Fanya bidii mwaka huu usipite upate hata IST kama korola ni ngumu gentleaman. TZ Foot itakuumiza miguu uzeeni :pedroP:
 
Mara nyingi watu mnaoona kila kitu ni ushoga ndo huwa mashoga waliokubuhu
Haaa kumbe nilikua sijui kumbe tukiwasema mashoga vibaya kuna watu mnaumia sana namna hii na bado mpaka siku mtu ajinyonge mtaani ndio watapata akili kuwa ushoga ni kuasi jamiii na haikubaliki hata kidogo
 
Back
Top Bottom