Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

nunua kitambaa ukashoneshe soks kwa fundi cherehan soks za kitambaa.....au za jinsi haziish upes hizo
1736596765245.png

Hapa mtu kaenda kupimwa kisa akashona bra
 
Wadada wa dar mnawashauri wanaume wa huko dar vibaya halafu wakianza mpaka kujichubua mnaanza tena kuwaponda😁😁😁
Hahaha!
Mkuu, unyayo unahitaji maji, sabuni na dodoki/file wala sio cream.
Sema hapo suluhisho anunue socks angalau hata pair 5 ili awe anazipumzisha zisichakae haraka.
 
Naishi kw baridi kali sana Ulaya kwaiyo mafuta yote yanagonga wakuu😂😂😂😂
Pia nvokuwa TZ bado ilikuwa ishu iyo iyo bila magaga🤭🤭🤭
 
Hahaha!
Mkuu, unyayo unahitaji maji, sabuni na dodoki/file wala sio cream.
Sema hapo suluhisho anunue socks angalau hata pair 5 ili awe anazipumzisha zisichakae haraka.
Expert soksi zina viwango pia, achukue best quality hata pea moja atadumu nayo mpaka ashangae,hata ukiwa na kucha ndefu ngoma haichaniki
 
Hahaha!
Mkuu, unyayo unahitaji maji, sabuni na dodoki/file wala sio cream.
Sema hapo suluhisho anunue socks angalau hata pair 5 ili awe anazipumzisha zisichakae haraka.
Kuna kipindi nilikua sivai soksi kama fashion, ndani ya viatu vya ngozi ndani ya miezi sita tu miguu ikawa kama ya punda wa singida 😁😁😁
 
Una tabia ya 'kauka nikuvae', ukinunua vazi flani, ni hilo hilo tu mpaka liishe.

Hapo hata ungelivaa soxy za chuma, lazima ziishe tena kwa mwendo wa upepo kutokana na friction kubwa inayotengenezwa kwenye nyayo wakati wa kutembea.

Emb nunua pair 10 za kuanzia maisha uone kama kuna soxy nyepesi kutoboka.

Mimi nina soxy nilinunua 2011 mpaka leo zinadunda na hazijatoboka.
Yes natembea sana km mazoezi kwa siku kama steps elf 20 na nipo kw baridi la negative uku😡😡😡
 
Hivi Kuna wanaume wankaa kusugua miguu 😄😄
 
Back
Top Bottom