Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

Ukishaosha miguu pka mafuta miguuni hasa mafuta mepes Kisha vaa soks zako
 
Ninavyojua mimi hayo makitu ni asili ya ngozi ya miguu tu na mara nyingi hutegemea na unaishi kwenye udogo wa aina gani🤔
Kabisa japo wanawake Huwa tunajitahid sababu wapenda urembo ila Kuna watu ngoz zao za miguu ni kavu sana
 
Una pair ngapi za soksi? Utaratibu mzuri at most uivae mara Moja Kwa week na baada ya kuifua. Na sio kila soksi unaweza kuvalia kila kiatu.

Mchongo uwe na pair zaidi ya Tano (Kwa shida) Hata za buku buku zinafaaa. Utamaliza zaidi ya Mwaka, zinaweza pauka lakini sio kusagika. Pia usitembelee soksi bila viatu .

Kama unacheza barelina sitegemei matokeo tofauti na hayo.

Pia zingatia kuhusu Gaga kama wadau walivyosema
 
Una soksi pea tano ulizonunua bukubuku bado unalalamika zinatoboka kazi unayo!
Mwanaume uliyekamilika inatakiwa uwe na boxer na singlend zisizo pungua ishirin ishirin soksi inatakiwa uwe nazo mpaka uzikumbuki si unawaza mpaka zilizotiboka!
 
Miguu hua ni dalili kubwa sana ili kuujua uchumi wa muhusika.
Inaweza kuwa kweli ila katika harakati za kuitafuta hazina ili uwe na huo uchumi haya makitu yanaweza kukupata hadi mikononi 😁😁
 
Una soksi pea tano ulizonunua bukubuku bado unalalamika zinatoboka kazi unayo!
Mwanaume uliyekamilika inatakiwa uwe na boxer na singlend zisizo pungua ishirin ishirin soksi inatakiwa uwe nazo mpaka uzikumbuki si unawaza mpaka zilizotiboka!
Watu bwana; cjui hata walinkona nikinunua izo soksi za buku, wanajua hata naishi wapi??? Na baada ya kujibu swali wanaongea utumbo tu; hii nchi we deserve the leaders we have; no wonder hatujafika popote
 
Ukute soksi zenyewe ni zile zinauzwa 2pairs 1500 na unataka zikae muda mrefu!
 
Back
Top Bottom