Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

Ana "makenya"? eti mlongo..!! Au "magagau"?
Anayo magagau na makenya yameanza kukatika ,.
Kwa staili hiyo socks lazima ziishe😄😄

TOfauti, hiyo Arrow ya grey makenya ,. Red ni magaga
20250111_144049.jpg
 
Unatembea umbali mrefu Kila siku na viatu vya mokasini. Bila shaka wewe ni mwalimu. Si ununue hata ka bodaboda ili upunguze kidogo kutembea mwendo mrefu?
Huyo sio mwalimu, waalimu wanavaa sox nzito. Huyo ni wale jamaa wa ukija ukamleta na mwenzako na mwenzako akimleta mwenzake…….salamu yao ni goodmorning hata usiku.
 
Back
Top Bottom