Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Unategemea nini kama timu ina mashabiki au wanachama kama weweee! Unaelezwa tatizo la msingi, wewe unarukia mengine!Muulizeni Uchebe sehemu au club yenye viongozi waongo wasioenda shule.
Club ambayo viongozi wake na mashabiki ni maboya fuata upepo.
Mkifungwa mechi moja tu, kocha hafai. Kesho mkishinda, mnajidai hata aje Barca hatoki.
Wewe ni shabiki wa mbeya city.Muulize Kimbe kuwa kwa nini hawajalalamika?Mimi ni shabiki wa MBEYA City (timu ya nyumbani) na ndio maana nikaweka kiambatanisho hapo juu. Nembo ya timu yetu ninayoijua haina rangi hiyo pichani. Na Nadhani huu ndio msingi wa hoja iliyopo mezani. Je, hili (kuweka nembo timu katika rangi isiyostahiki) lina uhusiano gani na GSM au Vodacom mkuu kama ulivyotuhumu hapo juu ?
Kiko wapi? Naona umegonga ukuta kwa hoja yako dhaifu kupita maelezo[emoji23][emoji23]
Kuna mwenzako naye alikuja kutetea huu ujima, alivyopewa dawa ya kutuliza hayupo tena, nadhani aliamka usingizini na kuanza kuropoka.
We ni wale wale kinachosema tofauti na unachokijibu, matokeo yake umeishia nenda mahakamani[emoji23]
Huo ni utaratinu ambao haaujaanza leo wala.jana Yanga kufanya hivyo, kuna miaka ya nyuma wadhamini walikuwa kilimaanjaro nao walileta mgomo huo ila mwishoo wa siku walikubaliana na Yanga timu ya wananchi na maisha yakaendelea.Haijaniuma sana, ila nimeshangaa. Sitokwenda mahakamani. Moja kati ya kazi za majukwaa Kama haya ni kujadili mambo mbali mbali ili angalau kuufikisha mpira wetu kwenye kiwango bora zaidi. Huenda unaipenda mno Yanga na hata usilione hilo kama ni tatizo. Au pengine hii ni Yanga mpya isiyokubaliana na logo za timu nyingine zisizokua na rangi ya manjano na kijani maana hapo kabla sijawahi kuona logo za namna hiyo.
Ninakubali kutofautiana nanyi (wenye msimamo kama wako) katika hili.
Yanga hakuna mahali wamebadili logo ya timu ya watu.Jielishe kwanza usitie uzoefu kwenye mambo ya weledi.Upo hapo wewe huna akili kuzidi wenye timu ngoja tarehe 8/3 /tuweke logobya simba ya njano ndo ufe uzimie kabisa.rangi haina effect yoyote kwa logo wala kmpuni ndio maana Vodacom logo yao ni nyekundu lakin kwa Yanga wanatumia nyeusi.Sasa wewe endelea kushikia bango jambo ambalo liko juu ya akili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni mbumbumbu+ hivi unajuaa maana ya logo kufanyiwa marekebisho kweli?Tumia akili wewe Mbute, hivi hii ndo logo ya Ruvu Shooting? Kuandika tu kunakushinda hata kuona vile vile huoni?
Ubishi umekujaa utadhani anaelewa vile kumbe kichwani empty, nenda kajifunze kuandika kwanza.
View attachment 1357978
Angalia swali nilivyomuliza chura mwezako, hii ndo logo ya Ruvu Shooting? Nikikusudia kuiweka rangi ya njano na kijani, soma mada upate kuelewa ili huo ubongo wako uliofungwa ufunguke..!
Kiswahili cha kufanyiwa marekebisho logo nimeandika wapi? Mjinga wewe!
Huo ni utaratinu ambao haaujaanza leo wala.jana Yanga kufanya hivyo, kuna miaka ya nyuma wadhamini walikuwa kilimaanjaro nao walileta mgomo huo ila mwishoo wa siku walikubaliana na Yanga timu ya wananchi na maisha yakaendelea.
Kamaa unaona yanga inakosea, ishauri hiyo timu yako inayobadilisshiwa logo ikashtaki, si mna hakimiliki na mmeisajili logo yenu bassi nendeeni mkashtaki muone nguvu ya Yanga ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni shabiki wa mbeya city.Muulize Kimbe kuwa kwa nini hawajalalamika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kelele nyingi sana?Unategemea nini kama timu ina mashabiki au wanachama kama weweee! Unaelezwa tatizo la msingi, wewe unarukia mengine!
Unaa uhakika kuwa hiyo ni official page ya yanga?Sawa, hata kama ni utaratibu ambao umekuwapo kwa miaka na miaka (kwa mujibu wa madai yako) ila ni utaratibu mbovu.
Nimekuambatanishia hapa chini logo sahihi za timu ya Simba, Alliance na Iringa United na zilipostiwa kwenye official instagram page ya hiyo hiyo Yanga. Sijui ni kipi kiliharibika.
View attachment 1358066View attachment 1358065View attachment 1358067
Kweli hatujuHI wanapungukiwa ninjWalianza kwny Logo ya Vodacom hao..Sijuhi wanapungukiwa na nini hii timu ndio maana siipendi..Inachangia kurudisha maendeleo ya soka..Hizo ndiyo akiri zao zinavyowatuma viongozi wa mbute mbute fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati lazima tusimame kama wadau wa kandanda nchini, tukiachia mbali ushabiki, ndo maana tulitoa mifano ya rangi ya logo ya Mbeya City na Ruvu Shooting.Mbona kelele nyingi sana?
Rais wa TFF ni Simba.
Katibu Mkuu ni Simba.
Rais bodi ya Ligi ni Simba.
CEO wa bodi ni Simba.
Kwa nini wote hao wasilifanyie kazi kwa manufaa ya Mikia?
Nishakuona wewe ni mweupe kichwani , sitapoteza muda kujibishana na weweKati ya simba na Yanga nani anacheza kwa presha?mbumbumbu bwana[emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.
Mjinga wewe.Kuna rangi halafu kuna logo.Ndo maana nilikuonesha pale juu kuwa logo unaweza kuitia rangi yoyote na isitie shaka.Ndo maana vodacom walibadili logo yao hadi kuwa nyeusi.Logo ni yale mapicha au alama zilizomo ndani ya logo na sio rangi.Unaweza kuondoa marangi yote kwenye logo ya simba hayo marangi mekundu.Ilmradi hatujamwondoa simba na maneno ya kwenye logo hiyo ni logo halali ya timu.Halafu wewe mpumbavu unatakiwa ujue masuala ya official announcement na masuala ya entertainment.Hapo yanga ni matangazo ndo maana tangazo wanaliweka kama wanavyotaka kuvutia watu wao.Lakin wakitaka kutumia nembo official watatumia.Hizo ni nembo za kampuni ya jeshi unadhani Yanga ni wajinga kuweka kwa rangi tofauti?Tumia akili wewe Mbute, hivi hii ndo logo ya Ruvu Shooting? Kuandika tu kunakushinda hata kuona vile vile huoni?
Ubishi umekujaa utadhani anaelewa vile kumbe kichwani empty, nenda kajifunze kuandika kwanza.
View attachment 1357978
Huyu jamaa atakuwa mkuu wa mambumbumbu(Manara) yeye anadhani rangi ndio logo.Hajui kuwa logo ni alama tu zilizoko kwenye mfumo fulani.Saiz man u wanatumia logo yenye weusi na njano zaman walikuwa wanatumia rangi nyekundu na nyeupe lakin mbumbumbu ataelewaje mambo madogo kama haya.Nadhani mzee mwinyi alivyosema Watanzania ni vichwa vya wenzawazimu basi na huju jamaa atakuwa mmojawapo.Mkuu wewe ni mbumbumbu+ hivi unajuaa maana ya logo kufanyiwa marekebisho kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ikishakuwa associated na CCM hayo yategemewe.