Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Wao wacheze mpira waifunge Yanga hayo malogo yao yakibadilika hayana madhara sana mana uhalisia wake unajulikana. Hata hivyo ukiondoa Yanga,Azam na mbumbumbu FC timu zingine hazijiendeshi kibiashara. Wacha tu tuchezee logo zao
Aah mkuu.... sidhani kama ni sawa ''kuchezea logo zao'' kwa sababu timu hizo hazijiendeshi kibiashara. Kila timu inapaswa kuiheshimu timu nyingine kwa sababu mchezo wa soka umejengwa katika misingi ya ustaarabu na uungwana.