Hivi kwanini Korodani zinawasha na kunuka?

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 vuzi lina miaka hajaligusa 🀣🀣🀣🀣
kuna msela wakati tupo form 1 uboyzini tunaoga nae jamaa alikuwa na vuzi ndefu zinalingana urefu na kidole gumba
yani zilikuwa nyingi zaidi ya nywele huenda ndio huyu mleta mada🀣
 
Fungus au bacterial infections hiyo, kazi ndogo tu nyoa vuzi tumia dettol soap mwasho unaisha au tumia ant fungal creams
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣humu kuna dada wakati yuko O level boarding alikuwa hajui kama vuzi huwa linanyolewa. Sasa kwa shida ya maji pale shule walikuwa wakioga mtoni. Hivyo yeye alidhani ana maumbile tofauti au kilema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndiyo sababu ana vuzi kubwa kama msitu kuliko wenzie.

Hakuja kustuka hadi yuko kidatu cha tatu baada ya rafiki yake kumuuliza kwanini hapendi kunyoa? 🀣🀣🀣 Alikuwa hajui chochote kuhusu vuzi kunyolewa sasa imagine ukubwa wa vuzi tangu avunje uongo hadi kidatu cha tatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alikuja humu kuhadithia huo mkasa wake. Siku ile nilicheka hadi machozi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
kuna msela wakati tupo form 1 uboyzini tunaoga nae jamaa alikuwa na vuzi ndefu zinalingana urefu na kidole gumba
yani zilikuwa nyingi zaidi ya nywele huenda ndio huyu mleta mada🀣
 
🀣hahahaha, kuna mmoja wakati tupo O level alikuwa anasuka kabisa huko chini
mwingine nimewahi kukutana nae ukubwani ana kiduku huko
 
Mkuu, kama uzi unaukumbuka weka hapa nikasomeπŸ˜‚
 
Hii kiboko asee!!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…