Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Daaa!! kweli Duniani kuna Mambo!! na kua uyaone yaani mapumbu yanuke???? sijawahi ona na hiii mpya hata Dr wangu hajawahi ona hii!! heee!! basi mwenzangu weye umesha kufa subiri kuzikwa tu!! ktk maungo yanayo kula upepo basi mapumbu!Hivi kwa nini korodani zinawasha na kunuka?
We zioshe utakavyoziosha, zipigie perfume uwezavyo but still lazima kaharufu katoke.
#Wataalamu njooni mnipe Darasa.
Chunguza una fungus nunua Dermal lotion jipake ukiona imewasha sana basi ni fungus!! isipowasha ndo unaoza taatibu iko siku utakufa subiri kuzikwa tu!!! Kamwe korodani hainuki itaanzia wapi kwanza!! kwani maku hiyo?