Yap sio tu kwenye hayo mambo makubwa mengi kidini,uchumi,jamii lazma yawahusishe introvertUnahisi tu au ndivyo ulivyoelewa?Shida kama gunia mbili.π€π€π€
Mambo ya dunia hayaegemei upande mmoja kama viongozi wa CCM na watoto wao.Haiko hivyo.Kila mtu/kiumbe anahitajika kwa umuhimu.Coincidences zisikuchanganye na uhalisia.Yap sio tu kwenye hayo mambo makubwa mengi kidini,uchumi,jamii lazma yawahusishe introvert
Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo
Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni
Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background
Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert
Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman abrohvomic, Mark zubergy,
Sio ivo tu hata wanasiasa wakubwa mashuhuri waliowahi kutokea km
Nelson Mandela, julius nyerere, Paul kagame n.k
Sio coincidence fuatilia hata gunduzi nyingi..newton,estein,da vinci,tesla, hizi nazo coincidenceMambo ya dunia hayaegemei upande mmoja kama viongozi wa CCM na watoto wao.Haiko hivyo.Kila mtu/kiumbe anahitajika kwa umuhimu.Coincidences zisikuchanganye na uhalisia.
Hii naweza kukubaliana na wwIntroverts ni watu wenye deep thinking, wana fikra za ndani, huchukulia kila kitu seriously, wana uwezo mkubwa wa kuficha siri, wana uwezo mkubwa wa kufuata procedures ndefu bila kuchoka mapema na hivyo ni real people, watu wa kuaminika zaidi ya extroverts. Siku zote siri zako muambie intro na sio extro nawe utakuwa salama zaidi.
Ukishupaza shingo utakwama.Kwa hiyo viongozi,wavumbuzi na wengine woootee duniani ni introverts?π€π€π€π€Sio coincidence fuatilia hata gunduzi nyingi..newton,estein,da vinci,tesla, hizi nazo coincidence
Yap waliowai kufanya makubwaUkishupaza shingo utakwama.Kwa hiyo viongozi,wavumbuzi na wengine woootee duniani ni introverts?π€π€π€π€
Hii nayo inamake sense.....nakubaliana nayoKwenye haya maisha ukiwa na taarifa nyingi za siri, automatically unatakiwa kuwa mkimya na msiri. Na sifa za introvert (mndani) ni kutoongea sana na kutojichanganya na watu. Ama sivyo utamwaga mchele kwenye kuku wengi
Ni wao pekee bila wa aina ingine?Yap waliowai kufanya makubwa
π€¦ββοΈπ€¦ββοΈ nadhani ni kinyume chake ,spy mzuri ni yule anayeweza kubadilika badilika kutokana na nature ya tukio analolifuatilia mfano kama ulishawahi kuwasikia "Honeypots" yaani wale wanawake majasusi ambao wanatumwa kuwapeleleza watu mashuhuri au viongozi wakubwa na wanaingia mara nyingi kwa gia ya mapenzi .Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo
Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni
Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background
Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert
Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman abrohvomic, Mark zubergy,
Sio ivo tu hata wanasiasa wakubwa mashuhuri waliowahi kutokea km
Nelson Mandela, julius nyerere, Paul kagame n.k
Unapoambiwa mfumbuzi unaelewa maana yake?Ni wao pekee bila wa aina ingine?
Kama amekuelewa,ni vema akaacha ubishi.π€¦ββοΈπ€¦ββοΈ nadhani ni kinyume chake ,spy mzuri ni yule anayeweza kubadilika badilika kutokana na nature ya tukio analolifuatilia mfano kama ulishawahi kuwasikia "Honeypots" yaani wale wanawake majasusi ambao wanatumwa kuwapeleleza watu mashuhuri au viongozi wakubwa na wanaingia mara nyingi kwa gia ya mapenzi .
Sidhani kama mtu ambaye hapendi ku socielize (introvert) anaweza kuvaa uhusika kwenye mambo kama hayo ,
Au wale watu zamani ulisikia wanajifanyisha ukichaa kumbe ni wana system wanatafuta data eneo husika sidhani kama introvert anaweza kuvaa huo uhusika .
Kiufupi ni kwamba EXTROVERTS ndiyo wanaweza kuwa spy na majasusi wazuri kuliko introverts.
Mfumbuzi?Au unataka kumueleza mgunduzi?Ni watu wawili tofauti hao.Unapoambiwa mfumbuzi unaelewa maana yake?
Ni mtu anaeleta kitu kipya ambacho wengine hawajakiweza....hao wengine ni wasaidizi
Ndio maana hata kwenye company unafikiri kwann founder Ana nafasi ya kujulikana wengine
Lakini pia kumbuka extrovert wengi hawawezi kuact low key .....na sifa ya kwanza ya spy lazma act ni low key na mtu aliye na emotional intelligence ya hali ya juu ...ambayo hali hii ipo juu kwa introvert...π€¦ββοΈπ€¦ββοΈ nadhani ni kinyume chake ,spy mzuri ni yule anayeweza kubadilika badilika kutokana na nature ya tukio analolifuatilia mfano kama ulishawahi kuwasikia "Honeypots" yaani wale wanawake majasusi ambao wanatumwa kuwapeleleza watu mashuhuri au viongozi wakubwa na wanaingia mara nyingi kwa gia ya mapenzi .
Sidhani kama mtu ambaye hapendi ku socielize (introvert) anaweza kuvaa uhusika kwenye mambo kama hayo ,
Au wale watu zamani ulisikia wanajifanyisha ukichaa kumbe ni wana system wanatafuta data eneo husika sidhani kama introvert anaweza kuvaa huo uhusika .
Kiufupi ni kwamba EXTROVERTS ndiyo wanaweza kuwa spy na majasusi wazuri kuliko introverts.
Keyboard error nilimaanisha mgunduziMfumbuzi?Au unataka kumueleza mgunduzi?Ni watu wawili tofauti hao.