- Thread starter
- #21
Although hii nayo inamake sense🤦‍♂️🤦‍♂️ nadhani ni kinyume chake ,spy mzuri ni yule anayeweza kubadilika badilika kutokana na nature ya tukio analolifuatilia mfano kama ulishawahi kuwasikia "Honeypots" yaani wale wanawake majasusi ambao wanatumwa kuwapeleleza watu mashuhuri au viongozi wakubwa na wanaingia mara nyingi kwa gia ya mapenzi .
Sidhani kama mtu ambaye hapendi ku socielize (introvert) anaweza kuvaa uhusika kwenye mambo kama hayo ,
Au wale watu zamani ulisikia wanajifanyisha ukichaa kumbe ni wana system wanatafuta data eneo husika sidhani kama introvert anaweza kuvaa huo uhusika .
Kiufupi ni kwamba EXTROVERTS ndiyo wanaweza kuwa spy na majasusi wazuri kuliko introverts.