Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
NAKAZIA HAPA..Pata ujue kuwa wewe sio introvert...
Being broke can make you feel like you are an introvert....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIA HAPA..Pata ujue kuwa wewe sio introvert...
Ntajuaje kama mtu ni introvert....Introverts ni watu wenye deep thinking, wana fikra za ndani, huchukulia kila kitu seriously, wana uwezo mkubwa wa kuficha siri, wana uwezo mkubwa wa kufuata procedures ndefu bila kuchoka mapema na hivyo ni real people, watu wa kuaminika zaidi ya extroverts. Siku zote siri zako muambie intro na sio extro nawe utakuwa salama zaidi.
Einstein was not an introvertSio coincidence fuatilia hata gunduzi nyingi..newton,estein,da vinci,tesla, hizi nazo coincidence
Si mzungumzaji sana, anapenda upweke, hapendi kuwa au kuongea sana mbele za watu, si mtu wa marafiki sana, si mtu wa kutoka sana akitoka anakwenda kupunga upepo beach peke yake au na familia na kurudi nyumbani, anaonekana mwenye aibu (wakati mwingine), hupenda kutenda zaidi ya kusema, etcNtajuaje kama mtu ni introvert....
Sababu kuu asiwe introvertEinstein was not an introvert
Sio Kila Mwanasayansi/Tajiri ni introvert, Mf. Elon Musk, Warren Buffett n. KSababu kuu asiwe introvert
Sio Kila Mwanasayansi/Tajiri ni introvert, Mf. Elon Musk, Warren Buffett n.k
Soma Screenshot yako Kijana. Wacha kukopi na Kupaste!Au hata mada unayochangie huielewi?View attachment 2565249
Hata mimi mtazamo wangu ni huu..🤦♂️🤦♂️ nadhani ni kinyume chake ,spy mzuri ni yule anayeweza kubadilika badilika kutokana na nature ya tukio analolifuatilia mfano kama ulishawahi kuwasikia "Honeypots" yaani wale wanawake majasusi ambao wanatumwa kuwapeleleza watu mashuhuri au viongozi wakubwa na wanaingia mara nyingi kwa gia ya mapenzi .
Sidhani kama mtu ambaye hapendi ku socielize (introvert) anaweza kuvaa uhusika kwenye mambo kama hayo ,
Au wale watu zamani ulisikia wanajifanyisha ukichaa kumbe ni wana system wanatafuta data eneo husika sidhani kama introvert anaweza kuvaa huo uhusika .
Kiufupi ni kwamba EXTROVERTS ndiyo wanaweza kuwa spy na majasusi wazuri kuliko introverts.
Nisome nn huku inajulikanaSoma Screenshot yako Kijana. Wacha kukopi na Kupaste!
Mtu kama mo ni intro au extro 😀Yap sio tu kwenye hayo mambo makubwa mengi kidini,uchumi,jamii lazma yawahusishe introvert
Sawa mkuuNdio maana nikasema wengi wao....sio wote
Nyerere sio IntrovertKwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo
Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni
Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background
Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert
Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman abrohvomic, Mark zubergy,
Sio ivo tu hata wanasiasa wakubwa mashuhuri waliowahi kutokea km
Nelson Mandela, julius nyerere, Paul kagame n.k
Umemtaja kwenye listi yako mjomba paulo,nitamfikishia salamu zake na anavyopenda sifa😃😃😃Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo
Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni
Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background
Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert
Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman abrohvomic, Mark zubergy,
Sio ivo tu hata wanasiasa wakubwa mashuhuri waliowahi kutokea km
Nelson Mandela, julius nyerere, Paul kagame n.k
Fafanua mkuu?????Maana hata mimi mjomba wangu paulo naona mnampa sifa tu.Nyerere sio Introvert
Ushawai kukutana na majasusi??????Wengi ni micharuko ili wapenye.Lakini inategemea na aina ya ujasusi,nakuunga mkono kuna idara za ujasusi ukiwaweka waongeaji sana watachana mikeka.Mtu muongeaji sana ni rahisi kuchana mkeka. Kupitia maneno mengii unaweza msoma mtu na ukaelewa anawaza nini au anataka nini..
Kule kuna watu aina mbali mbali na wanawekwa kwa kazi maalumu kutokana na Personality zao... kuna mazingira yanahitaji waongeaji sana au wapole sana au kati kati..
Watu wakimya sana, mda mwiki wanafikiria mbeleni na kutatua changamoto.. ingawa sio wote kuna wakimya sana ila mda wote wana waza ujinga