Hivi kwanini kuna uhusiano mkubwa introvert na spy au jasusi

Although hii nayo inamake sense
 
Mtu muongeaji sana ni rahisi kuchana mkeka. Kupitia maneno mengii unaweza msoma mtu na ukaelewa anawaza nini au anataka nini..

Kule kuna watu aina mbali mbali na wanawekwa kwa kazi maalumu kutokana na Personality zao... kuna mazingira yanahitaji waongeaji sana au wapole sana au kati kati..

Watu wakimya sana, mda mwiki wanafikiria mbeleni na kutatua changamoto.. ingawa sio wote kuna wakimya sana ila mda wote wana waza ujinga
 
Hii ni kweli ujue....hakuna kitu kigumu km kumsoma mtu mkimya anawaza nn?


Next steps yake ni nn? Ni ngumu sana kujua
 
Bill Gates pia
 
Huwa hatunaga muda wa kuongea sana na hatupendi kuishi kwa kutegemea watu wengine.

Tunapenda kujitegemea na kuishi maisha yetu bila kusumbuana na watu.

Kwa vile siyo waongeaji sana huwa tunafanya vitu sana kwa moyo mmoja.

Ndiyo maana wengi wetu huwa wanafanikiwa.

Pia tuna uwezo mzuri wa kushawishi.

Wengi wetu huwa tunakuwa watu hatari.

Asilimia kubwa mazoezi na Michezo ya martial arts huwa ni sehemu ya maisha yetu.
 
Hakuna mwanasiasa introvert, najuavyo mimi kuhusu uhusiano wa watu introvert na uspy ni kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kutunza Siri. Na Siri ndio msingi wa uspy
 
Vladimir putin
Nimeandika kijumla jumla ingawa wapo na hata hao wachache utakuta wamejitofautisha Kwa aina ya siasa wanazofanya sio kama zile za maji taka. Kimsingi ni introvert wachache Sana utawakuta kwenye siasa kuliko extrovert ambao in nature ni wanasiasa wazuri Sana na ni wazungumzaji kweli kweli na siasa mtaji wake mkubwa ni sound kitu ambacho introvert wengi hawamudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…