Hivi kwanini kuna uhusiano mkubwa introvert na spy au jasusi

Ntajuaje kama mtu ni introvert....
 
Ntajuaje kama mtu ni introvert....
Si mzungumzaji sana, anapenda upweke, hapendi kuwa au kuongea sana mbele za watu, si mtu wa marafiki sana, si mtu wa kutoka sana akitoka anakwenda kupunga upepo beach peke yake au na familia na kurudi nyumbani, anaonekana mwenye aibu (wakati mwingine), hupenda kutenda zaidi ya kusema, etc
 
Hata mimi mtazamo wangu ni huu..
 
Nyerere sio Introvert
 
πŸ˜ƒ Naona huu uzi umepata ma introverts wa kutosha hii ni baada ya sifa mbali mbali kumwaga kwamba ni watu wenye intelligence kubwa .

Ok mimi nadhani si introvert wala extrovert nipo kati na kati (jamii ya watu wanaojulikana kama ambiverts) huwa napendelea kufanya mambo peke yangu ila nikipata company hakuna shida , na ni bora nikakaa sehemu nisome kitabu au kuangalia movie kuliko kwenda kwenye shughuli yyte ya mikusanyiko ambazo si za lazima mf. Club, party n.k

Kingine mimi ni autodidact nakumbuka nikiwa nasoma kuanzia secondary hadi namaliza elimu zangu nilikuwa najisomea mwenyewe huwa naelewa zaidi ninapokuwa nakichambua kitu mwenyewe kuliko kufundishwa class na walimu.

πŸ˜„ kuna issue nimeikumbuka nikiwa moja wapo ya makambi ya jkt siku ya party hapo baada ya kuapishwa usiku wake sasa wenzangu wameenda kuburudika huko mi nikaenda angani nikawa nime chill mara pap ! MP huyu hapa akanitoa kwa lazima mpaka huko kwenye hiyo party
 

Attachments

  • Screenshot_20230326-072028.png
    51.4 KB · Views: 10
Umemtaja kwenye listi yako mjomba paulo,nitamfikishia salamu zake na anavyopenda sifaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ushawai kukutana na majasusi??????Wengi ni micharuko ili wapenye.Lakini inategemea na aina ya ujasusi,nakuunga mkono kuna idara za ujasusi ukiwaweka waongeaji sana watachana mikeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…