James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Hatari sanaaaa......Pia kijana inaonesha nyota yake huko mbele inaweza kuwa nzuri kwaio bora waiue mapema
MbadhilifuKwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Vilevile mambo aliyo yafanya pale PopatraiWapinzani wanamkumbuka kwa mambo ya IT 2015, mataga sijui aliwafanya nini.
Labda nyota ya kunguniPia kijana inaonesha nyota yake huko mbele inaweza kuwa nzuri kwaio bora waiue mapema
Mti wenye matunda...Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Reputation ya January iliharibika zilipovuja sauti zao na nape wakimteta Rais na magazeti ya msiba yalichangia kumpaka matope. Lakini pia ugumu wa wizara ya nishati kuhusika sana na ufisadi awamu ya nne ambayo ilimkuza sana kisiasa. Ila kijana Yuko smart sana japo ni opportunist kama wengine.Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Tupe ushahidi wa hizo dili alizopigaMpiga dili anaeusaka urais kwa kila njia asie na uwezo wowote kiutendaji zaidi ya kubebwa na kila awamu.
Kuna mpuuzi Suzy Elias aliyekuwa anatumia Jina Veronica France aliwaaminisha chato gang kuwa anahusika na kifo cha Mzee yule nao wakaamini wakisahau kuwa covid haijawai kuwa na masikhara na watu wenye vibuli.Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Achana nae imeshazoeleka watu kupakana matope bila sababu wala ushaidi wowote. Jaribu kusoma comment nyingi utagundua kuna watu kama wameshachanganyikiwaTupe ushahidi wa hizo dili alizopiga
Matatizo ya akili ni shida kubwa sana TanzaniaAchana nae imeshazoeleka watu kupakana matope bila sababu wala ushaidi wowote. Jaribu kusoma comment nyingi utagundua kuna watu kama wameshachanganyikiwa
Tuna kumbukumbu mbaya dhidi ya huyu Kigogo14 wenu.Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Hizo zilikuwa conspiracies mbaya sana kuwahi kuona na vijana wengi waliziamini kuwa nikweli. Kuna haja mitara ya shule zetu ifumuliwe na usikwe ili vijana wapende kudadisi mambo aisee ulikuwa ukisoma comments unaweza kuliaKuna mpuuzi Suzy Elias aliyekuwa anatumia Jina Veronica France aliwaaminisha chato gang kuwa anahusika na kifo cha Mzee yule nao wakaamini wakisahau kuwa covid haijawai kuwa na masikhara na watu wenye vibuli.
Kumbuka sehemu ya chato gang ndo wanaongoza kwa kuua vikongwe na watu kwa kuhisi tu ni washirikina bila ushahidi!
Hata wewe hapa umelipwa ili uje kumtetea hapa.Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Siyo miti yote inayopigwa ina matunda mingine ina nyoka. cc Mshana JrMTI WENYE MATUNDA...
Siempre JMT