Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hawa ndiyo kula yao wanapewa deal wanaingia mtaani kutangaza mavi ni mkate.Hivi nyie jamaa huwa mna ubongo kweli kama binadamu au mna matope?
Jamaa amewekwa pale kimkakati na kufanikisha mishe za kifisadi! Haiingii akilini eti mtu akodishe system kwa 70 billions. Hilo linatosha tu kuona msimamizi wa wizara hayupo kulinda maslahi ya Wizara.
Ndio yale yale, hela unayotafta kwa jasho huwezi kwenda kuspendi mshahara mzima kwa starehe ikiwa majukumu ni mengi yanahitaji fedha. We unaweza funga CCTV kamera za million 500 kamera 3 ilihali zipo za laki 8?
Ila hela ikiwa hutoi wewe utafunga za mil.500 kirahisi ila hela ikiwa yako huwezi kubali kufunga zaidi ya za laki 8!
Jamaa alivyoingia kimkakati kupiga atapiga hasa ila kuna wahuni wachache kila wanapoambiwa hawauoni ukweli kisa 5k za bando na supu.