Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Kaka ukiwa jikoni penye harufu nzuri ya nyama kukwepa kudokoa unaitaji neema ya Mungu. Wengi tukiwa wadogo kizazi cha kuanzia miaka 89 mpaka tisini tumedokoa sana nyama ukimlia timing mama. Haya mambo nimegumu Sana yanaitaji uzalendo wa hali juu kabisaYeah hili ndio mimi nina tatizo nalo, kuchangia maendeleo si tatizo kabisa.
Shida ni kuchanga halafu anatokea boya mmoja anatunga kitu chake ama mradi ili serikali iingize hela pasipo na tija ili tu sehemu ya ile hela aiibe! Yani waziri anajigeuza dalali kwenye mradi anakunja % yake flani.