Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kuchangia sio tatizo! Tupeni mpango kazi na kuwe na transprency kinachoingia kila siku ni kiasi gani na kinatumikaje mwisho wa siku!Usiishi kwa kuwanyoshea watu vidole sio njia sahihi ya kujenga, nchi yetu nikubwa sana kuliko unavyojua wewe. Tanzania tunaishi na mawazo ya kupenda kuhudumiwa kila kitu inafanya serikalii hivyo ni vema kila mtanzania mzalendo ajisikie fahari kulichangia taifa lake. Kama kuna flauding kuna mamlaka zinawajibika pia wananchi wanapaswa kuwauliza viongozi wao kama madiwani, wabunge wao kupata mrejesho. Kuwa matured kujenga hoja, kutoa maoni, kuelimisha au kuleta ripoti ya utafiti kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika
Mbona kwenye harusi hela zinachangwa na mwisho zinatumika kama ilivyoainishwa kwenye pdf?