Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Wanawake hudhani kuwa akitumia mwili wake atapata chochote kile kutoka kwa mwanaume!!
Haka kasaikolojia sijui walikatoa wapi?
Mkuje hapa mtuambie ukweli,, Ni kwanini mnapotumia mitindo yote ya mitego kwa Muhuni kama Sonko bila mafanikio mwishoni huwa hamkubaliani na ukweli kuwa mwamba harubuniki wala kuibiwa kizembe basi badala ya kuushati ninyi mnachagua vita tena ile ya maneno chafu chafu tu?
1.. Utasikia maneno ya kisenge senge tu,,
Mara mshikaji anaringa lakini zero tu hamna lolote.
2.. Mara usimuone mstaarabu ni malaya ana tabia chafu mno,,
3.. Mara msafi anajiweka kiafisa sana lakini hana issue hapa town,, na unakuta huyo mwamba hata hawamjui hata kidogo zaidi ya kumuona tu na salamu..
4.. Mara ana pesa ila ana roho mbaya,, oya nyie mlimchongea njia zake za pesa labda?
5.. Usimuone mtanashati na so sijui handsome na vijineno neno vyao ambavyo wanavitumia kutudescribe lakini show hawezi,, na wanaosema hivyo hata kifua wala mkono wa mshikaji hawajawahi kuushika,, achilia hata kutolewa out for a dinner au lunch
Niwaulize kina dada nini huwa inaspark hii vita kwenu kwenda kwa washikaji ambao most huwa ni innocent kabisa baada ya flirting zenu kufeli??
Mkuje hapa mtupe majibu Leo..
By Sonko..