Hivi kwanini lakini iko hivi? Wanawake mkuje huku mtuambie mnawazaga nini.

Hivi kwanini lakini iko hivi? Wanawake mkuje huku mtuambie mnawazaga nini.

Pdidy ni nani kati yenu?
Usipende sana kuwa negative mkuu!!
Hata kwenye mazingira yaliyojaa positivity..
Mitandao hukutanisha watu kwaminajili mbali mbali sio mahusiano tu..

So kuwa tofauti kidogo na jinsia ya kike maana manzi unaweza kumuita ili umuulize hata njia ya mzee mwalubadu kenyewe kakatanguliza kujiprotect tu
Vinawazaga kuliwa tu..

Usiwe na mentality ya hivyo mkuu plz.
 
Mkuu hofu sasa hivi imetanda vibaya mno.
 
Mkuu hofu sasa hivi imetanda vibaya mno.
Ni asilimia 3 tu ya matatizo yaliyopo hapa duniani ila 97 iliyobaki ni usalama na wema
So sioni sababu ya kuwa brainwashed kuwa dunia imejaa hofu na uovu..

Haiko juu kiasi hicho mnavyoioverrate..

Stay positive for good sio kuwa na mawazo ya ajabu ajabu..
Tofauti ni moja tu
Kwasasa hata wanyoa viduku wanashika kamera na kurekodi matukio..
Haijalishi ni kamera ama simu huo ndio utofauti tu..
 
Well said!
 
Kijana wangu kumbe mimi nakufundusha kujiamini daily tena wewe unalisha wengine matango pori??
Nani kakufundisha hii kuwa kama huna pesa usitongoze wanawake??
Ukiwa na kipesa kiduchu mfukoni ujue kukibalance tu ili ule pisi kali bana acha
Kuharibu misingi ya kiumeni..
Money doesnt f*ck women rather you D*ck..
Hakikisha Muumba kakujaalia 6+" na nguvu zake aisee!! Narudia tena aisee huyo mwanamke unaemuona maofisini kang'aa anatafuta tu pesa..
But ukimpata na akaikutà hii kitu unaweza kuuawa kwaajili ya wivu..
Sasa mkuu kama huna pesa utamtengenezeaje mazingira ya wewe kupiga mzigo kwasababu hata meet yenu inahitaji pesa, sehemu ya kupiga mzigo pesa pia utatoa, kuna shida pia za dharura za .manzi utampa mapumbu yako?
 
When talking about monetary values,, wengi hawajikiti kwenye hizo angles ulizozitaja..
Kwanini mnaact like hao viumbe sio watu??

Manzi aje gheto apike ulichonunua mle pamoja ujue upishi wake..
Shida mnaishi kisela mavi na hao wanawake ndio maana wanawachukulia mazopilo!!
Acheni usela nondo mazee..
Wewe unakula napumbu yako kwani?
Kwanini usijijenge nae umjenge muwe pamoja
Unashindwa kununua jogoo la 20k kilo ya maharage na mchele kilo tatu na viungo vyake?
Mkachil magetoni for three days?
Kama pesa ya pato la kwanza huna basi wewe ni wa kujitathmini sana..
In my early 20's nilikuwa na jeuri ya kuishi na familia na kuihandle kwa kila kitu ambacho ni basic need..
 
Back
Top Bottom