Dah! Tuchunge sana "msamba" wetu. Farasi mmoja akivutiwa na malisho atakayoyaona njia tupitayo tutalia kwa kwikwi kali sana.Tumepanda farasi wawili at a time
English ni muhimu na ni silaha kubwa sana kuelekea Mafanikio! Ya mtu kwa dunia hii, mara Ya kwanza kusafiri nje ilikuwa 80's tuliondoka watu 7 ni wawili tu tulioelewa lugha wale wenzangu walinisumbua sana tukifika transit airport, kwenye desk zote za Uhamiaji na kutafuta geti kwa ajili ya flight boarding.. Ilibidi niwafanyie hadi kazi ya kuwaelekeza vilipo vyoo na kuuliza bei za bidhaa! Ilikua shiidaKwanini tusisome tu kiswahili mpaka mwisho? Kiingereza hakina faida yoyote ile, wanaijeria wanaongea kiingereza, Ghana wanaongea kiingereza lakini kati yao hakuna hata aliepiga hatua ya maana kimaendeleo, kinachosaidia kwenye elimu ni yaliyomo( content) sio lugha inayotumika. Swala la Bunge la afrika mashariki kusaili watu kwa kiingereza wacha wafanye tu. Bunge lile lipo kwa ajili ya diplomasia ni kama balozi wa Tanzania nchi nyingine. Halina athari yoyote kimaamuzi kwa watanzania, kwahiyo wale wanaojua kiingereza waende tu. Ila hapa kwetu mtu asitukanwe kwa kutojua kiingereza, wala asisailiwe kwa kiingereza. Kujua kiingereza hakusaidii uchumi, zaidi kimasaidia diplomasia na mazungumzo ya hapa na pale.
Tukomae tuwe na content nzuri kwenye elimu yetu sio lugha.
Itafsiri hiyo hali uliokutana nayo kama ungekua ni muingereza umekuja Tanzania na wewe tu ndo unajua kiswahili wenzio hawajui Ila wanajua kiingereza, ukifanya hivyo utagundua umuhimu wa kiingereza ni mawasiliano tu kwenye hiyo hadithi yako. Ni kama kiswahili tu. Wewe kimekisaidia nini kiingereza mpaka leo?English ni muhimu na ni silaha kubwa sana kuelekea Mafanikio! Ya mtu kwa dunia hii, mara Ya kwanza kusafiri nje ilikuwa 80's tuliondoka watu 7 ni wawili tu tulioelewa lugha wale wenzangu walinisumbua sana tukifika transit airport, kwenye desk zote za Uhamiaji na kutafuta geti kwa ajili ya flight boarding.. Ilibidi niwafanyie hadi kazi ya kuwaelekeza vilipo vyoo na kuuliza bei za bidhaa! Ilikua shiida
Halafu leo unasema lugha hii haina umuhimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukafuta kauli kwa usalama wako? Unajua kuwa Nigeria ni nchi ya kwanza kiuchumi Africa?Kwanini tusisome tu kiswahili mpaka mwisho? Kiingereza hakina faida yoyote ile, wanaijeria wanaongea kiingereza, Ghana wanaongea kiingereza lakini kati yao hakuna hata aliepiga hatua ya maana kimaendeleo, kinachosaidia kwenye elimu ni yaliyomo( content) sio lugha inayotumika. Swala la Bunge la afrika mashariki kusaili watu kwa kiingereza wacha wafanye tu. Bunge lile lipo kwa ajili ya diplomasia ni kama balozi wa Tanzania nchi nyingine. Halina athari yoyote kimaamuzi kwa watanzania, kwahiyo wale wanaojua kiingereza waende tu. Ila hapa kwetu mtu asitukanwe kwa kutojua kiingereza, wala asisailiwe kwa kiingereza. Kujua kiingereza hakusaidii uchumi, zaidi kimasaidia diplomasia na mazungumzo ya hapa na pale.
Tukomae tuwe na content nzuri kwenye elimu yetu sio lugha.
Kila raia wa nigeria akishika sh 1 jumla unapata million 190. Wana GDP kubwa kwasababu wapo wengi ila hamna wanachozalisha, we unajua bidhaa ngapi za kinaijeria? Elimu ya kiingereza ingekua inawasaidia tungekua na magari, treni au piki piki za kinaijeria lakini hakuna. Wahindi wanaleta bajaji na kiingereza hawajui. Wanaijeria wapo wengi ndomana GDP yao kubwa.Unaweza ukafuta kauli kwa usalama wako? Unajua kuwa Nigeria ni nchi ya kwanza kiuchumi Africa?
English ni muhimu na ni silaha kubwa sana kuelekea Mafanikio! Ya mtu kwa dunia hii
Content ya elimu ndo jambo la msingi, sio lugha. Swali la kujiuliza tulianzaje kusoma kwa kiingereza na tunawezaje kusoma kwa kiswahili?
Duh!!!!Kila raia wa nigeria akishika sh 1 jumla unapata million 190. Wana GDP kubwa kwasababu wapo wengi ila hamna wanachozalisha, we unajua bidhaa ngapi za kinaijeria? Elimu ya kiingereza ingekua inawasaidia tungekua na magari, treni au piki piki za kinaijeria lakini hakuna. Wahindi wanaleta bajaji na kiingereza hawajui. Wanaijeria wapo wengi ndomana GDP yao kubwa.