Hivi kwanini lugha ya kingereza haitiliwi mkazo nchini mwetu?

Hivi kwanini lugha ya kingereza haitiliwi mkazo nchini mwetu?

Kwanini huulizi hivi " kwanini kiswahili hakitiliwi mkazo uingereza?"; utumwa mwingine bhana, hadi mnakera.
 
Jinga Kabisa.

Ninakuhakikishia hauwezi kuyatamka haya uliyoyaandika.

Sifahamu umetumia muda gani kujitutumua kuandika na kuhariri huu upupu.

Haka kakiingereza chako uchwara hakawezi kubadilisha ukweli kwamba wewe ni zuzu la kiingereza.

Udhaifu wako wa lugha usisababishe kuzuia wengine kujifunza.

Mbegu mbovu wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza uchwara kama offcoarse?hahahaha.
Muungwana huchutama, wewe umevuliwa nguo halafu unakunja saba tena.
Tumia akili kujibu hili swali,
kati ya nchi kumi zilizoendelea sanaa ni nchi ngapi zinatumia kiingereza kujifunzia?
 
254C965A-EE06-4005-8EBE-9899ABACDDE3.jpeg
 
" Of course" you uncouth nincompoop. One blow job could have prevented this douchebag. My wish is for people like you to be proud swahili speakers and not ridicule those who can't speak English even when you yourselves can't. Be grateful I'm not a moderator in Jf I'd have given you and your future generations a life ban for spewing out nonsense.
Sasa umeandika nini hapo....kuon yesha kwamba unajua kiingereza cha matusi au?.... Tz bado tuna kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watz wengi ni wanafiki na wanapenda njia za mkato kumaliza matatizi.
Kwa mfano mwaka jana walivyomfungulia kesi melo ili awape taarifa za wachangiaje jf, na melo akagoma, yote hii ni kuwa huko cybercrimes hawana hackers au kama wapo ni wale script kiddies ambao hawajui programming per say so wanatafuta njia ya mkato ili kupata wanachohitaji.
Hata kwenye chaguzi, hawawezi shawishi watu wanaishi kutumia nguvu kuiba kura.
English is the first language na kuijua is a priority kukupa exposure stahiki si kukaa kuangalia tbc na kusema mimi mzalendo huku kichwani ni zero.
Kama haina umuhimu viongozi watoto wao wanawapeleka english medium na nchi za nje kufanya nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia COBOL mpaka Python zinatafsirika ndugu yangu, tukomae tusome kwa kiswahili sio kutuita wanafki.
Unajua kuna lugha zinaitwa hivi
1. Chinese Basic
2. Chinese Python
3. Robomind
Zote ni programming languages za kichina. Usiite watu wanafiki.
 
Kwanini huulizi hivi " kwanini kiswahili hakitiliwi mkazo uingereza?"; utumwa mwingine bhana, hadi mnakera.
Nchi kama Tz inazalisha nini ili watu wajifunze kiswahili....umuhimu wa lugha unaenda sambamba na uzalishaji, technolojia, tiba au medicine na mawasiliano au communication. Kati ya hayo Tz haina chochote ni masikini tu inabidi tujifunze kiingereza tupate hayo ya juu. Na to pata maendeleo ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu alisomea English medium akapata matokeo mazuri la 7 serikali wakamchagua secondary ya kata siku alipoanza class wale waliotoka shule za serikali majority hawakujua kuhesabu 1-100 in English! Mwanangu alishangaa sana, akawa darasani anaulizwa sana na wenzake mwalimu ameongelea nini?
Bila jitihada za kumwamisha shule angedumazwa pale kwanza uhaba ni mkubwa sana.
Kiujumla hali ya Elimu nchini ni mbeya sana hususan walimu na mitaala, hivi kwanini shule zote zisiwe kwenye kiwango cha English medium?
Kwa style tuliyo nayo tutaendelea kuajiri na kusimamiwa na wakenya kwa miongo mingi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanzie na wewe hapo shule uliosoma inafanana ana aliyosoma mwanao hio ya English Medium?
 
Kuanzia COBOL mpaka Python zinatafsirika ndugu yangu, tukomae tusome kwa kiswahili sio kutuita wanafki.
Unajua kuna lugha zinaitwa hivi
1. Chinese Basic
2. Chinese Python
3. Robomind
Zote ni programming languages za kichina. Usiite watu wanafiki.

Wakati unajibu elewa kwanza nilichoandika. Na ndio hapa naitwa watz wengi mabogus, yaani unakimbilia kunitajia programming languages huku mimi nimetolea mfano mapolisi walivyo wavivu kutafuta ushahidi maana hata hiyo elimu yao ya cyber ni duni na ndio maana wakamweka melo ndani awape access za servers.
Watu wakikosa exposure kama watz walio wengi ndio wanaishia kushangilia mtu aliyeachiwa huru mahakamani kwa ushahidi kukosekana na hapo hapo polisi anamkamata tena badala ya prosecution kuappeal mahakama ya juu yake.
English ni lugha ya kimataifa, ukiijua inakusaidia kujua mengi, kuanzia sayansi, technologia, uchumi nk, na researches nyingi sana zimandikwa kwa lugha hiyo, hivyo inakupa ufunguo wa kupevuka.
Wewe hujiulizi kwanini watoto wa viongozi hawasomi kata?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
And yet, I'm trolling you. You must dumber. Jibu hilo swali hata kwa kutafuta mtandaoni. Usipanick maisha ndo yapo hivi hivi, kuna watu wana hoja za msingi kuliko wewe. Ukikubali yaishe haitakuuma sana, ila ukiwa mbishi utalala unaota Jamiiforums.
"You must dumber"???

Hahahaaaa

Mimi ninakichapa Kiswahili kweli kweli na ninakipenda mno.

Lakini pia ninapaswa kujifunza kiingereza Kwasababu dunia ya leo inanihitaji kwa kila hali nikifahamu Kiingereza.

Nimekupa mfano wa namna Magufuli alivyofedheheka kwenye mkutano wa Museven kule Uganda akabaki analia lia tu maneno hayatoki.

Kiingereza kinayaleta mataifa pamoja.

Kuanzia maswala ya kitaaluma, ajira, mawasiliano, huduma, na mambo mengi ya kijamii.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi kama Tz inazalisha nini ili watu wajifunze kiswahili....umuhimu wa lugha unaenda sambamba na uzalishaji, technolojia, tiba au medicine na mawasiliano au communication. Kati ya hayo Tz haina chochote ni masikini tu inabidi tujifunze kiingereza tupate hayo ya juu. Na to pata maendeleo ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kinachokufanya usitilie mkazo kiChina ni nini hasa (Based on your arguement), utumwa mwingine bhana..
 
Wakati unajibu elewa kwanza nilichoandika. Na ndio hapa naitwa watz wengi mabogus, yaani unakimbilia kunitajia programming languages huku mimi nimetolea mfano mapolisi walivyo wavivu kutafuta ushahidi maana hata hiyo elimu yao ya cyber ni duni na ndio maana wakamweka melo ndani awape access za servers.
Watu wakikosa exposure kama watz walio wengi ndio wanaishia kushangilia mtu aliyeachiwa huru mahakamani kwa ushahidi kukosekana na hapo hapo polisi anamkamata tena badala ya prosecution kuappeal mahakama ya juu yake.
English ni lugha ya kimataifa, ukiijua inakusaidia kujua mengi, kuanzia sayansi, technologia, uchumi nk, na researches nyingi sana zimandikwa kwa lugha hiyo, hivyo inakupa ufunguo wa kupevuka.
Wewe hujiulizi kwanini watoto wa viongozi hawasomi kata?


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sisemi tusome kata, nasema tusome kwa kiswahili. Ninachokuambia mimi ingekua rahisi polisi kufanya kazi yao kama lugha ingekua rafiki. Hata hivyo encryption sio suala la kujua computer na hacking tu, FBI walishindwa kufungua simu iliyofungwa na iCloud na mtu tu, mpaka wakaenda Apple kuomba msaada. Bill Gates na Zuckerberg walikua wanajifunza kichina kuwasiliana na wachina. Tutafsiri mambo yote kwa kiswahili halafu tuone kama hatujajenga mitreni na migari ya haha wenyewe.
Nawewe hujiulizi hao watoto wa viongozi wametufanyia nini?
 
Back
Top Bottom