Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,424
Nigeria inao wanayansi ambao mi ni nawaita wasaliti wanaozitumikia nchi za ulaya kwa matokeo ya walipa kodi za maskini wa afrika.Nigeria ndio nchi pekee ya weusi ambayo ina world class scientists.Kila raia wa nigeria akishika sh 1 jumla unapata million 190. Wana GDP kubwa kwasababu wapo wengi ila hamna wanachozalisha, we unajua bidhaa ngapi za kinaijeria? Elimu ya kiingereza ingekua inawasaidia tungekua na magari, treni au piki piki za kinaijeria lakini hakuna. Wahindi wanaleta bajaji na kiingereza hawajui. Wanaijeria wapo wengi ndomana GDP yao kubwa.
Asante sana, kuna watu bado wana fikra finyu sana. wanawaza kaeneo kale anakoishi. Achilia mbali nje ya Nchi, hata hapa Bongo kuna sehemu zinaelekeza kwa kizungu kama hukijui unaumbuka.English ni muhimu na ni silaha kubwa sana kuelekea Mafanikio! Ya mtu kwa dunia hii, mara Ya kwanza kusafiri nje ilikuwa 80's tuliondoka watu 7 ni wawili tu tulioelewa lugha wale wenzangu walinisumbua sana tukifika transit airport, kwenye desk zote za Uhamiaji na kutafuta geti kwa ajili ya flight boarding.. Ilibidi niwafanyie hadi kazi ya kuwaelekeza vilipo vyoo na kuuliza bei za bidhaa! Ilikua shiida
Halafu leo unasema lugha hii haina umuhimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikianza kuandika faida tutakeshaItafsiri hiyo hali uliokutana nayo kama ungekua ni muingereza umekuja Tanzania na wewe tu ndo unajua kiswahili wenzio hawajui Ila wanajua kiingereza, ukifanya hivyo utagundua umuhimu wa kiingereza ni mawasiliano tu kwenye hiyo hadithi yako. Ni kama kiswahili tu. Wewe kimekisaidia nini kiingereza mpaka leo?
Wasiojua kingereza hawajafanikiwa Tanzania? hebu fafanua.English ni muhimu na ni silaha kubwa sana kuelekea Mafanikio! Ya mtu kwa dunia hii, mara Ya kwanza kusafiri nje ilikuwa 80's tuliondoka watu 7 ni wawili tu tulioelewa lugha wale wenzangu walinisumbua sana tukifika transit airport, kwenye desk zote za Uhamiaji na kutafuta geti kwa ajili ya flight boarding.. Ilibidi niwafanyie hadi kazi ya kuwaelekeza vilipo vyoo na kuuliza bei za bidhaa! Ilikua shiida
Halafu leo unasema lugha hii haina umuhimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe.Kwanini tusisome tu kiswahili mpaka mwisho? Kiingereza hakina faida yoyote ile, wanaijeria wanaongea kiingereza, Ghana wanaongea kiingereza lakini kati yao hakuna hata aliepiga hatua ya maana kimaendeleo, kinachosaidia kwenye elimu ni yaliyomo( content) sio lugha inayotumika. Swala la Bunge la afrika mashariki kusaili watu kwa kiingereza wacha wafanye tu. Bunge lile lipo kwa ajili ya diplomasia ni kama balozi wa Tanzania nchi nyingine. Halina athari yoyote kimaamuzi kwa watanzania, kwahiyo wale wanaojua kiingereza waende tu. Ila hapa kwetu mtu asitukanwe kwa kutojua kiingereza, wala asisailiwe kwa kiingereza. Kujua kiingereza hakusaidii uchumi, zaidi kimasaidia diplomasia na mazungumzo ya hapa na pale.
Tukomae tuwe na content nzuri kwenye elimu yetu sio lugha.
Wewe unatetea kiingereza kwasababu sio CCM?
Unatumia maguvu mengi sana kuupindisha ukweli.1.Hivi sisi tusiojua kingereza,tunatofautiana nini na wanaojua kingereza kama Zambia, Kenya, Malawi, Ghana Zimbabwe, je wamefanikiwa kwenda uchumi wa kati na kingereza chao au wote tunalialia njaa tu?
2.Katika dunia ya utandawazi hivi unawezaje kulialia eti serikali haitilii mkazo hali kuna kila kitu ktk mitandao, kama upo siliasi unahitaji miezi 3 tu kujua hicho kingereza.Serikali imekuwekea hiyo miundombinu kwa nini usiitumie, kikwete aliwahi waambia watu wa Tanga kuwa "kama mnasubiri fursa iwafuate mlangoni subirini lakini serikali imewajengea barabara kazi kwen kuitumia".
3.Utafiti umeonesha kuwa matumizi ya kingereza yamechangia kudamza ubunifu na ufaulu duni, rejea tafiti za haki elimu.
4.Tatizo la waafrika sio lugha bali ni udumavu wa akili na kushindwa matumizi sahihi ya akili tulionayo katika kuyatawala mazingira yetu.Ushahidi wa hilo ni kwamba nchi za Afrika zilipeleka watoto/vijana kusoma ulaya kwa lugha ya huko lakini mpaka leo nitajie Muafrika aliethubutu kuivusha nchi yake kwenda kuwa nchi ya teknolojia kutokana na maarifa aliyopata kutoka nchi hizo.Pakistani ilimtuma abdisalam kusoma uingereza alichawafanya waingereza hawatamsahau, mtu mmoja tu alileta mapinduzi ya 'nuclear technology in islamic world'.
5.Hakuna utafiti unaoonesha kuwa maendeleo duni na umaskini barani Afrika ni kwa sababu ya kutumia lugha za asili.
6.Wanaoshadadia kingereza bado wametawaliwa na utumwa wa fikra ambao wazungu walitumia miaka mingi kuujenga na itachukua miaka mingi kujitambua, hapa wapo phd mpaka wasiojua k.k.k.
7.Tunatakiwa tuanze kutilia mkazo lugha ya komputer kutoka ngazi za chini ambayo ndio lugha ngeni barani Afrika na inatolewa vyuoni tu.Hii ndio lugha inayotawala teknolojia na haijatiliwa mkazo sio kingereza.Naomba niishi tu hapa lakini yapi mengi ya kujiuliza.
Majitu yasiyojua Kiingereza ndio yanayopiga sana makelele.kuna mtu nafanya nae ofisi moja hapendi kingereza eti kilikuja na meli, tunawatukuza wazungu ila mambo yote tunayafanya na kuripoti kwa kingereza huwa inapofikia anatakiwa kupresent mambo kwa kingereza anapata tabu sana. Kumbe anaponda watu kutumia kingereza kwasababu anaumbuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
" Of course" you uncouth nincompoop. One blow job could have prevented this douchebag. My wish is for people like you to be proud swahili speakers and not ridicule those who can't speak English even when you yourselves can't. Be grateful I'm not a moderator in Jf I'd have given you and your future generations a life ban for spewing out nonsense.Acha ujinga wewe.
Unataka kupotosha watu hapa kwasababu wewe ni goigoi wa lugha!!
Eti lugha si mawasiliano tu?
Offcoarse, lugha ni kwa ajili ya mawasiliano, Kwani ulitaka iwe na matumizi yapi?
Lazima watu Wajifunze lugha zote muhimu waweze kuchangamana na dunia.
Wewe kama ulimi wako umegoma kutema mayai, tulia waache ndugu zako wajifunze.
Wote tunajua Magufuli alivyopata tabu alipoenda Uganda.
Huo ni mfano mmoja tu.
Usiwapoteze watu.
Baki na ugoi goi wako wa lugha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha ya computer ndio lugha gani?1.Hivi sisi tusiojua kingereza,tunatofautiana nini na wanaojua kingereza kama Zambia, Kenya, Malawi, Ghana Zimbabwe, je wamefanikiwa kwenda uchumi wa kati na kingereza chao au wote tunalialia njaa tu?
2.Katika dunia ya utandawazi hivi unawezaje kulialia eti serikali haitilii mkazo hali kuna kila kitu ktk mitandao, kama upo siliasi unahitaji miezi 3 tu kujua hicho kingereza.Serikali imekuwekea hiyo miundombinu kwa nini usiitumie, kikwete aliwahi waambia watu wa Tanga kuwa "kama mnasubiri fursa iwafuate mlangoni subirini lakini serikali imewajengea barabara kazi kwen kuitumia".
3.Utafiti umeonesha kuwa matumizi ya kingereza yamechangia kudamza ubunifu na ufaulu duni, rejea tafiti za haki elimu.
4.Tatizo la waafrika sio lugha bali ni udumavu wa akili na kushindwa matumizi sahihi ya akili tulionayo katika kuyatawala mazingira yetu.Ushahidi wa hilo ni kwamba nchi za Afrika zilipeleka watoto/vijana kusoma ulaya kwa lugha ya huko lakini mpaka leo nitajie Muafrika aliethubutu kuivusha nchi yake kwenda kuwa nchi ya teknolojia kutokana na maarifa aliyopata kutoka nchi hizo.Pakistani ilimtuma abdisalam kusoma uingereza alichawafanya waingereza hawatamsahau, mtu mmoja tu alileta mapinduzi ya 'nuclear technology in islamic world'.
5.Hakuna utafiti unaoonesha kuwa maendeleo duni na umaskini barani Afrika ni kwa sababu ya kutumia lugha za asili.
6.Wanaoshadadia kingereza bado wametawaliwa na utumwa wa fikra ambao wazungu walitumia miaka mingi kuujenga na itachukua miaka mingi kujitambua, hapa wapo phd mpaka wasiojua k.k.k.
7.Tunatakiwa tuanze kutilia mkazo lugha ya komputer kutoka ngazi za chini ambayo ndio lugha ngeni barani Afrika na inatolewa vyuoni tu.Hii ndio lugha inayotawala teknolojia na haijatiliwa mkazo sio kingereza.Naomba niishi tu hapa lakini yapi mengi ya kujiuliza.
Watu kama nyinyi ni kupigwa risasi tu.Acha ujinga wewe.
Unataka kupotosha watu hapa kwasababu wewe ni goigoi wa lugha!!
Eti lugha si mawasiliano tu?
"Offcoarse"
Baki na ugoi goi wako wa lugha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watz wengi ni wanafiki na wanapenda njia za mkato kumaliza matatizi.kuna mtu nafanya nae ofisi moja hapendi kingereza eti kilikuja na meli, tunawatukuza wazungu ila mambo yote tunayafanya na kuripoti kwa kingereza huwa inapofikia anatakiwa kupresent mambo kwa kingereza anapata tabu sana. Kumbe anaponda watu kutumia kingereza kwasababu anaumbuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga Kabisa." Of course" you uncouth nincompoop. One blow job could have prevented this douchebag. My wish is for people like you to be proud swahili speakers and not ridicule those who can't speak English even when you yourselves can't. Be grateful I'm not a moderator in Jf I'd have given you and your future generations a life ban for spewing out nonsense.
Safi sanaWatz wengi ni wanafiki na wanapenda njia za mkato kumaliza matatizi.
Kwa mfano mwaka jana walivyomfungulia kesi melo ili awape taarifa za wachangiaje jf, na melo akagoma, yote hii ni kuwa huko cybercrimes hawana hackers au kama wapo ni wale script kiddies ambao hawajui programming per say so wanatafuta njia ya mkato ili kupata wanachohitaji.
Hata kwenye chaguzi, hawawezi shawishi watu wanaishi kutumia nguvu kuiba kura.
English is the first language na kuijua is a priority kukupa exposure stahiki si kukaa kuangalia tbc na kusema mimi mzalendo huku kichwani ni zero.
Kama haina umuhimu viongozi watoto wao wanawapeleka english medium na nchi za nje kufanya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Risasi utapigwa wewe Juhha unayetaka kuangamiza Taifa.Watu kama nyinyi ni kupigwa risasi tu.
Hawa ni wajinga wachache ambao ndimi zao zimegoma kutema mayai.Watz wengi ni wanafiki na wanapenda njia za mkato kumaliza matatizi.