Hivi kwanini lugha ya kingereza haitiliwi mkazo nchini mwetu?

Kwanini huulizi hivi " kwanini kiswahili hakitiliwi mkazo uingereza?"; utumwa mwingine bhana, hadi mnakera.
 
Kiingereza uchwara kama offcoarse?hahahaha.
Muungwana huchutama, wewe umevuliwa nguo halafu unakunja saba tena.
Tumia akili kujibu hili swali,
kati ya nchi kumi zilizoendelea sanaa ni nchi ngapi zinatumia kiingereza kujifunzia?
 
UKIBARAKA NI WAOVYO SANA!
 
Sasa umeandika nini hapo....kuon yesha kwamba unajua kiingereza cha matusi au?.... Tz bado tuna kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia COBOL mpaka Python zinatafsirika ndugu yangu, tukomae tusome kwa kiswahili sio kutuita wanafki.
Unajua kuna lugha zinaitwa hivi
1. Chinese Basic
2. Chinese Python
3. Robomind
Zote ni programming languages za kichina. Usiite watu wanafiki.
 
Kwanini huulizi hivi " kwanini kiswahili hakitiliwi mkazo uingereza?"; utumwa mwingine bhana, hadi mnakera.
Nchi kama Tz inazalisha nini ili watu wajifunze kiswahili....umuhimu wa lugha unaenda sambamba na uzalishaji, technolojia, tiba au medicine na mawasiliano au communication. Kati ya hayo Tz haina chochote ni masikini tu inabidi tujifunze kiingereza tupate hayo ya juu. Na to pata maendeleo ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie na wewe hapo shule uliosoma inafanana ana aliyosoma mwanao hio ya English Medium?
 
Kuanzia COBOL mpaka Python zinatafsirika ndugu yangu, tukomae tusome kwa kiswahili sio kutuita wanafki.
Unajua kuna lugha zinaitwa hivi
1. Chinese Basic
2. Chinese Python
3. Robomind
Zote ni programming languages za kichina. Usiite watu wanafiki.

Wakati unajibu elewa kwanza nilichoandika. Na ndio hapa naitwa watz wengi mabogus, yaani unakimbilia kunitajia programming languages huku mimi nimetolea mfano mapolisi walivyo wavivu kutafuta ushahidi maana hata hiyo elimu yao ya cyber ni duni na ndio maana wakamweka melo ndani awape access za servers.
Watu wakikosa exposure kama watz walio wengi ndio wanaishia kushangilia mtu aliyeachiwa huru mahakamani kwa ushahidi kukosekana na hapo hapo polisi anamkamata tena badala ya prosecution kuappeal mahakama ya juu yake.
English ni lugha ya kimataifa, ukiijua inakusaidia kujua mengi, kuanzia sayansi, technologia, uchumi nk, na researches nyingi sana zimandikwa kwa lugha hiyo, hivyo inakupa ufunguo wa kupevuka.
Wewe hujiulizi kwanini watoto wa viongozi hawasomi kata?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
And yet, I'm trolling you. You must dumber. Jibu hilo swali hata kwa kutafuta mtandaoni. Usipanick maisha ndo yapo hivi hivi, kuna watu wana hoja za msingi kuliko wewe. Ukikubali yaishe haitakuuma sana, ila ukiwa mbishi utalala unaota Jamiiforums.
"You must dumber"???

Hahahaaaa

Mimi ninakichapa Kiswahili kweli kweli na ninakipenda mno.

Lakini pia ninapaswa kujifunza kiingereza Kwasababu dunia ya leo inanihitaji kwa kila hali nikifahamu Kiingereza.

Nimekupa mfano wa namna Magufuli alivyofedheheka kwenye mkutano wa Museven kule Uganda akabaki analia lia tu maneno hayatoki.

Kiingereza kinayaleta mataifa pamoja.

Kuanzia maswala ya kitaaluma, ajira, mawasiliano, huduma, na mambo mengi ya kijamii.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kinachokufanya usitilie mkazo kiChina ni nini hasa (Based on your arguement), utumwa mwingine bhana..
 
Mimi sisemi tusome kata, nasema tusome kwa kiswahili. Ninachokuambia mimi ingekua rahisi polisi kufanya kazi yao kama lugha ingekua rafiki. Hata hivyo encryption sio suala la kujua computer na hacking tu, FBI walishindwa kufungua simu iliyofungwa na iCloud na mtu tu, mpaka wakaenda Apple kuomba msaada. Bill Gates na Zuckerberg walikua wanajifunza kichina kuwasiliana na wachina. Tutafsiri mambo yote kwa kiswahili halafu tuone kama hatujajenga mitreni na migari ya haha wenyewe.
Nawewe hujiulizi hao watoto wa viongozi wametufanyia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…