Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Wakurya wapi hao?
 
Nyie mkisafiri mtuachie tu maelekezo tutafanya sio tuanze tena kuumiza vichwa😇
Si unaona hampendi kuumiza vichwa ila likija swala la huduma na pesa sasa mnakomba kweli kweli. Sasa si uwe inanishauri hata sio mpaka elimu ya darasani
 
Kujustify moja kwa moja hili ni kosa kubwa. Uzuri wa Mtu haumuondolei akili zake

Labda udefine hiyo akili kwanza.
 
Kujustify moja kwa moja hili ni kosa kubwa. Uzuri wa Mtu haumuondolei akili zake

Labda udefine hiyo akili kwanza.
Akili nazo zungumzia ni za maisha. Sio za darasani
 
Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
From my experience nishawai kupata packages nusu nusu kwa wakati mmoja.

Package moja ilikua pisi kali beyond reasonable doubt, sema kipengele ni alikua liability. Package ya pili ilikua SIO pisi kali, ila alikua thoughtful sana na ana akili ya maisha. Mwamba nikapoteza package zote kwa sababu nilishindwa kuchagua.
 
wanawake wazuri wengi hopeless kabisa,nilikuwa nako kazaramo flani,sio akili za maisha tu hata darasani tia maji tia maji tu ,na kanapenda vitu vizuri uwezo wa kumiliki hana na dharau kibao,alinikuta mkinga mimi pesa inatoka kwa hesabu na sikumpa attention kama atakuwa na danga huko atajua mwenyewe,sasa kuna kasukuma hapa mashallah,akili za maisha zipo mingi,heshima,kujituma kazi,huyu hata hela nampea,aiii
 
Kwani amekwambia anataka mwalimu wa boxing?
 
Sio kweli
 
Ungetembea na package ya pili mkuu, huyo mwingine ungemfanya side chick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…