Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Well unaongelea psychological fact and not real life reality

Na hata psychologically bado utarudi kwenye uhalisia ya kuwa, mwanamke mzuri atakuwa blinded by beauty, which of course sio wote

Ila, mwanamke anayesifiwa kila day hujipa ego kuwa she's valuable na ata endelea kutaka validation by clinging on that
Na huwa wanatafuta attention ilimradi tu waonekane yaan jau San
 
Umerudi palepale mwenyewe.

Umepost mtu unaemuona wewe ni mzuri kwa sababu tu umemlinganisha na ndalichako, na ni kwakuwa umetumia vigezo vyako nikakwambia huyo wapo wanaoona sio mzuri kulingana na criteria zao.

Kama kwako nyeupe ndio nzuri, sio kila mtu anavutiwa na nyeupe, kama ni matako, sio kila mtu

Hakuna universal standard ya kusema hiki ni kizuri na wote waka-fall hapo. Ndio maana kunakuwa tu na criteria tofauti tofauti ambazo watu huziangukia, sio moja.

Nashukuru umejijibu.
We jamaa huna hoja Unajifanyaga tu, sasa hapo ningemchagua dada ako au? Kwanini usinge tetea hoja yako?

Kwa sababu nimenyuka panapo stahili..
 
Ok sawa, kwamba akili zipo ila hajazielekeza kwenye u-wife material. Bali kajikita kuzitumia katika fursa kulingana na potential aliyonayo ukizingatia usawa huu[zama hizi].

Cc
"Huwezi mwanamke ukawa na degree 4 [upper class] alafu uishie kufua na kupika nyumbani."

Ila kibongo bongo wengi wao wamebweteka hua wanaona kuwa mzuri basi unakua umemaliza kila kitu(katika ndoa hawa watu ni pasua kichwa).
Sure yeye kaangalia kwa perspective ya wazungu.. Wabongo awe na degree asiwe nayo bado pasua kichwa tu kasoro tarehe
 
The Economic principle of asymmetric incentives.

When society rewards a person heavily for their aesthetic value, the incentive to develop intellectual depth, critical thinking, or operational skills drops drastically. It is not that they are incapable of intelligence; it is that they have never been economically or socially required to develop it to survive or thrive.

Halo effect and cognitive shielding

The Halo Effect is a cognitive bias where humans automatically attribute positive traits—like intelligence, honesty, and competence—to attractive people, without any evidence.


The Reality: Because of this bias, highly attractive individuals are often shielded from the consequences of poor decisions or lack of knowledge from an early age.


The Consequence: If a child or young adult is constantly agreed with, praised, and rescued from their mistakes simply because they are pleasant to look at, they are deprived of the brutal feedback loop required to build common sense. Common sense is forged through failure, friction, and accountability. When beauty eliminates that friction, cognitive growth stalls.

Mwenye uwezo wa kutafsiri hii kwa kiswahili. Nimeikuta kwenye kitabu na mimi nimeibandika hapa kama ilivyo.

Kanuni ya Kiuchumi ya Vivutio Visivyolingana (Asymmetric Incentives)

Wakati jamii inapomtunza mtu kwa wingi mkubwa kwa ajili ya urembo au sura yake nzuri, motisha ya kukuza akili ya kina, fikra makini, au ujuzi wa kiutendaji hupungua sana. Sio kwamba hawawezi kuwa na akili; ni kwamba hawajawahi kuhitajika kiuchumi au kijamii kukuza akili hizo ili kuishi au kufanikiwa.

Athari ya Halo (Halo Effect) na Kinga ya Akili (Cognitive Shielding)

Athari ya Halo ni upendeleo wa akili ambapo binadamu hujiwekea mwenyewe sifa chanya—kama vile akili, uaminifu, na uwezo—kwa watu wenye sura nzuri, bila kuwa na ushahidi wowote.

Ukweli: Kwa sababu ya upendeleo huu, watu wenye sura nzuri sana mara nyingi hulindwa dhidi ya matokeo ya maamuzi mabaya au ukosefu wa maarifa tangu utoto wao.

Matokeo: Ikiwa mtoto au kijana anaambiwa kila mara kuwa ana sawa, anasifiwa, na kuokolewa kutokana na makosa yake kwa sababu tu ana sura nzuri, ananyimwa mchakato mkali wa kujifunza kwa kukosoa unaohitajika ili kujenga akili ya kawaida (common sense). Akili ya kawaida hujengwa kwa kushindwa, kukwaruzana na uwajibikaji. Wakati urembo unapoondoa msuguano huo, ukuaji wa akili husimama.
 
😥😥😥 Kwa hiyo nifanye Je sasa?
Hiyo sasa ni discretion yako mkuu. Your life your choices.
Ila wabongo usipowaelewa sana, nenda S.A huko kwa watoto wa kizulu ukaone corporate/ career women walivyo smart na wazuri.
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Sio wazuri tu, hata wenye matako makubwa
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Uzuri huwa umewapiga shoti!
 
Back
Top Bottom