Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Beauty and intelligence are entire independent traits,and physical attractiveness has no bearing on a person intellect,
Your idea is baseless myth,
appearance does not dictate mental capability,

Woman can be both highly intelligent and beautiful.
Well unaongelea psychological fact and not real life reality

Na hata psychologically bado utarudi kwenye uhalisia ya kuwa, mwanamke mzuri atakuwa blinded by beauty, which of course sio wote

Ila, mwanamke anayesifiwa kila day hujipa ego kuwa she's valuable na ata endelea kutaka validation by clinging on that
 
Hapa unaongelea Wanawake wenye akili ya kitu gani?
Unaongelea akili kwenye angle ipi hasa mkuu?
Akili ya maisha... Sio intellectual ambayo sio valuable hasa mtu akiwa engrossed on superficial things
 
Kaka zangu, mada hii imenigusa sana na ni kweli, wakati mwingine tunaweza kujikuta tunatoa generalizations kutokana na tunachokiona au uzoefu wetu. Lakini nadhani ni muhimu sana kukumbuka kuwa kila mtu ni ulimwengu wake na hatuwezi kuwaweka wote kwenye kundi moja.

Uzuri wa nje ni kitu kinachovutia jicho haraka, na ni kweli wapo wanaoipa kipaumbele kikubwa. Lakini akili na busara mara nyingi hazionekani kwa haraka kama make-up au mavazi maridadi. Pia, akili ina sura nyingi; kuna akili ya darasani, akili ya maisha, akili ya biashara, akili ya kujali wengine, n.k.

Badala ya kukata tamaa, labda tunaweza kujipa muda zaidi kuwafahamu watu kwa undani. Wakati mwingine, mtu anaweza kuwa na uzuri wa nje na ndani, ila tu anahitaji mtu ambaye yuko tayari kuchimba zaidi kugundua huo uzuri wa ndani.

Kama ilivyosemwa, kupata 'full package' ni kweli ni jackpot, na naamini zipo, na sio chache! Labda zinahitaji uvumilivu na macho ya kuona zaidi ya uso. Tusikate tamaa kutafuta watu wenye akili na busara, bila kujali muonekano wao. Ni suala la kujua kipaumbele chako ni nini hasa kwenye mahusiano.
Wewe pamoja na AI yako mna busara sana. Hongereni
 
Kaoe Tarime kwa Wakurya Mkuu,Wana akili,adabu na Wazuri tena wamefungasha.
Hawajui chai..kifungua kinywa ni Ugali wa Mtama na Kichuri au uji wa Maziwa na Viazi au Mihogo..
Hautajutia lolote maishani na uno utakatikiwa mpaka njaa iume kila baada ya shoo.
Hayo ni mapenzi au vita mkuu.
 
Back
Top Bottom