Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Jinsia 'ke' iko very strategic sana, ukiangalia juu juu waweza kuona hivyo.
Ukitaka kujua akili zao wakute wenyewe kwa wenyewe kwenye vijiwe vyao wakiwa wanapangilia mipango yao.
kila mwanamke anajua kwa nani anataka nini, na kwa nani atumie nguvu, akili au ajifanye hamnazo kabisa.
Mwanamke hawezi kutumia akili sehemu asiyotaka kutumia akili.

Na wengi huwa wanajifanya hawana akili kwa lengo maalum au anajua kabisa hana cha kupoteza kwa uzuzu kwako.
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Anaona uzuri wake unanunua chochote na kuuza chochote hivyo hamna wa kumpangia lolote.
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
ipo hivyo kisaikolojia
 
Hii ni kweli. Huyu wangu niliwahi kuleta samaki mbichi nyingi sana kwa lengo apike nyingine azikaushe kwaajili ya siku zijazo. Cha ajabu akazishemsha zote akaziunga na nyanya

Al-mukheef
 
Hizi sifa ni za mwanamke Malaya. Achana nao. Umalaya na akili havikai pamoja.

Sidhani kama wapo mitandaoni, sehemu za starehe n.k huwa wanakuwa na ratiba tight. Akili na kuwa busy vinaenda sambamba ndo maana hawaonekani kiwepesi.
Fanya uni connect nao maana hata makazini kwenyewe hawapatikani
 
Kama unasema ni baadhi yao, hapa tayari umekubali sio mindset ya wanawake kwa ujumla.

Tatizo huwa haliko kwenye jinsia bali kwenye tabia ya mtu binafsi, mbona kuna wanaume wanaotapeli, wanaiba na kuwanatumia wenzao vibaya, lakini huwa hatusemi kuwa hiyo ndiyo mindset ya wanaume.

Nadhani tujifunze kuwahukumu watu kwa tabia zao, na siyo kwa jinsia zao.
We jamaa ume data sio bure😂
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Hakuna mwanamke mzuri ambaye Hana akili. Ma polygony ndo hamna kitu, wazuri Wana vipaji na huwezi kuwa celebrity kama Una sura mbaya. Sema wazuri ni expensive.
 
Sawa kabisa,

Tabia ya mtu ya kimaadili haitegemei kabisa jinsia yake,
Sifa kama vile uaminifu,huruma na uadilifu,pamoja na sifa hasi,ni sifa za kibinadamu kwa wote rather than biological or sociological traits,

Individual intelligence is a product of their genetics,environment,education and opportunities,not their gender.
Hivi unaongea kubisha au?

Yaani kwa dunia ilivyo leo, uje utuaminishe huu upuuzi kisa una ka logic ka mchongo?

We all know how utandawazi umejaribu maadili, how watoto wadogo wanajiuza, how sex umekua biashara, alaf eti unaleta point ya kuwa ni mtu binafsi..

BRO stop making stupid logic kwenye jambo lililo wazi tena bora wenzetu hawa yapi focus sana external beauty, ila huku pisi ikitongozwa tu mara kadhaa, tayari bichwa juu like haendi chooni
 
Hakuna mwanamke mzuri ambaye Hana akili. Ma polygony ndo hamna kitu, wazuri Wana vipaji na huwezi kuwa celebrity kama Una sura mbaya. Sema wazuri ni expensive.
Ukisha Sema expensive unakuwa umeingia kwenye viwango, tu lakini ni wale wale...

Kwani wa kina kajala, kina giggy money vipi, si wale wale kasoro tarehe?
 
Shuleni wanatunukiwa zawadi ya mwanafunzi bora msafi ila wanapata division zero kwenye mtihani. Ni pisi kali hasa tatizo lao hawana akili
Akili zimeenda kukuza ego tuu🤣🤣 shenjii kabisa
 
Ndio sijasema wanawake wote kwa ujumla wao, nazungumzia "manipulative behaviour" ya baadhi ya wanawake kwenye mapenzi. Nazungumzia pale ambapo mapenzi yanapogeuka mwanya wa mtu kupigwa matukio, kuibiwa, kutapeleliwa. Hata hivyo nimekuelewa.
Huyo jamaa ni feminists...

Huwa anapinga facts na ujinga aliomezeshwa ukikaa kijinga ana Leta manipulative logic isiyo ya msingi

Hajui ya kuwa mwanaume ndo mlengwa mkuu, eti anasema kuna wanaume wana jisifia makebo ka wanawake

Zimo kweli😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom