Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Napend
Kaka zangu, mada hii imenigusa sana na ni kweli, wakati mwingine tunaweza kujikuta tunatoa generalizations kutokana na tunachokiona au uzoefu wetu. Lakini nadhani ni muhimu sana kukumbuka kuwa kila mtu ni ulimwengu wake na hatuwezi kuwaweka wote kwenye kundi moja.

Uzuri wa nje ni kitu kinachovutia jicho haraka, na ni kweli wapo wanaoipa kipaumbele kikubwa. Lakini akili na busara mara nyingi hazionekani kwa haraka kama make-up au mavazi maridadi. Pia, akili ina sura nyingi; kuna akili ya darasani, akili ya maisha, akili ya biashara, akili ya kujali wengine, n.k.

Badala ya kukata tamaa, labda tunaweza kujipa muda zaidi kuwafahamu watu kwa undani. Wakati mwingine, mtu anaweza kuwa na uzuri wa nje na ndani, ila tu anahitaji mtu ambaye yuko tayari kuchimba zaidi kugundua huo uzuri wa ndani.

Kama ilivyosemwa, kupata 'full package' ni kweli ni jackpot, na naamini zipo, na sio chache! Labda zinahitaji uvumilivu na macho ya kuona zaidi ya uso. Tusikate tamaa kutafuta watu wenye akili na busara, bila kujali muonekano wao. Ni suala la kujua kipaumbele chako ni nini hasa kwenye mahusiano.
Napenda kukupongeza kwa ujumbe mzuri sana ,nakubaliana na wewe.
 
Zingatia ushauri ulilopewa huko juu, bado haujajua nini maana ya kuleta mjadala jukwaani.

Hauwezi kujibu hoja badala yake unamshambulia mtoa hoja, una utoto sanaa bado.
Kwani hoja imetokea kwa nani?

Wewe like serious unaleta logic gani mkuu eti kila gender inafanya? Yaani eti mwanaamume na yeye ajiangalie jinsi alivyo na aanze kujisifia
 
Kwani hoja imetokea kwa nani?

Wewe like serious unaleta logic gani mkuu eti kila gender inafanya? Yaani eti mwanaamume na yeye ajiangalie jinsi alivyo na aanze kujisifia
Hakuna sehemu nimejibu hivi, iquote hiyo sehemu kama ipo.
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Mkuu mwanamke akishakua mzuri akili zinakua hazina kazi atatumia za watakaoona uzuri wake....
 
Jinsia 'ke' iko very strategic sana, ukiangalia juu juu waweza kuona hivyo.
Ukitaka kujua akili zao wakute wenyewe kwa wenyewe kwenye vijiwe vyao wakiwa wanapangilia mipango yao.
kila mwanamke anajua kwa nani anataka nini, na kwa nani atumie nguvu, akili au ajifanye hamnazo kabisa.
Mwanamke hawezi kutumia akili sehemu asiyotaka kutumia akili.

Na wengi huwa wanajifanya hawana akili kwa lengo maalum au anajua kabisa hana cha kupoteza kwa uzuzu kwako.
Una uhakika na unacho kisema? Na mbona hakuna wanacho kifanya kimaendeleo?
 
Back
Top Bottom