Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

JF watu hawabishani bali wanajadili,

Wewe ni mpumbavu na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,wewe umesha geuka kua kituko hapa JF ila hujajishtukia tu coz uwezo wa kujishtukia huna,

hua nawapenda sana nyie mnaotumia lugha za aina hii coz mimi hua naua Mende kwa kumpiga nyundo ya utosi,

Unapenda kuanzisha nyuzi ila huna uwezo wa kuzisimamia nyuzi zako coz uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,kifupi huna akili ya kujadili na watu humu,bila shaka hata hizi nyuzi hua unazicopy somewhere na kuja kuzipaste hapa tu,

Wenzenu kina nani?

Unapojadili jambo na mimi kua makini sana na lugha unayoitumia dhidi yangu coz mimi watoto wa zinaa hua siwaachi,natwanga nyundo kwenye kona zote.
We si msenge tu😂😂

Unafikiri tumeanza leo, mshamba mkubwa.

Sema nimekupiga pabaya na huwezi kuacha kupiga yowee

Unakuja na porojo za logic kwenye jambo la uhakika?

Endelea kuuguza bipolar maana sio mzee mwenye akili timamu anaweza kucharamba maneno ya ki genz..

Kafanyiwe therapy uzeeke vizuri wajukuu wasije Pata aibu
 
Kwamba The Icebreaker una bipolar?
 
Inahitaji mtu mwenye akili timamu za uelewa ili aelewe jinsi ya kuendesha mijadala na kuisimamia mijadala aliyo ianzisha,

Kwa mleta mada hilo sahau,uwezo huo hana,anaanzisha mada kisha anajichomeka kidole ili abishane na watu na kutukana watu,mtu anachangia mada,mara amtukane,au amwambie "Acha kutumia AI"
Acha kuleta maneno ya uongo Kafanyiwe therapy hauko poa mentally
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Wanazaliwa na akili sema hawataki kuongezea hiyo akili kwa kuwa wanaona uzuri wao unatosha.
 
Unafikiri tumeanza leo, mshamba mkubwa.
Umeanza wewe na nani?
Sema nimekupiga pabaya na huwezi kuacha kupiga yowee
Huna uwezo huo,ukisoma comments za nyuzi zako,wachangiaji wengi wameshakuona kua wewe ni mpumbavu na una akili za kitoto,nilijaribu kukuelekeza ila nyie watoto wa zinaa hua hamuelekezeki,
Unakuja na porojo za logic kwenye jambo la uhakika?
Unaona jinsi usivyokua na akili? Jambo la uhakika? Nilikwambia weka result ya research ya unachokiongea,uliweka? Huo "Uhakika" umethibitishwa na nani?
Kafanyiwe therapy uzeeke vizuri wajukuu wasije Pata aibu
Kama akili yako inaona mimi ni mzee,unaonaje uniunganishe na Mamako? Ili japo upate Baba wa kambo coz mpaka umri huo hata humjui babako ni nani wala mamako na yeye hajui ni nani alimchomeka mimba yako,

Unaonekana hata huko mtaani ni mtu usiyekua na tahamani yeyote ile,kifupi ulisha dharaulika huko,faraja yako pekee iliyobaki ni kuanzisha vinyuzi JF,watu wakiachangia unafarijika, ilakwenye uhalisia huna thamani yeyote.
 
Umeanza wewe na nani?

Huna uwezo huo,ukisoma comments za nyuzi zako,wachangiaji wengi wameshakuona kua wewe ni mpumbavu na una akili za kitoto,nilijaribu kukuelekeza ila nyie watoto wa zinaa hua hamuelekezeki,

Unaona jinsi usivyokua na akili? Jambo la uhakika? Nilikwambia weka result ya research ya unachokiongea,uliweka? Huo "Uhakika" umethibitishwa na nani?

Kama akili yako inaona mimi ni mzee,unaonaje uniunganishe na Mamako? Ili japo upate Baba wa kambo coz mpaka umri huo hata humjui babako ni nani wala mamako na yeye hajui ni nani alimchomeka mimba yako,

Unaonekana hata huko mtaani ni mtu usiyekua na tahamani yeyote ile,kifupi ulisha dharaulika huko,faraja yako pekee iliyobaki ni kuanzisha vinyuzi JF,watu wakiachangia unafarijika, ilakwenye uhalisia huna thamani yeyote.
I don't give a fvck🖕🖕
 
Acha kuleta maneno ya uongo Kafanyiwe therapy hauko poa mentally
Ni kama umeamua kumtolea uvivu huyo mchangiaji.. japo naona ana hoja.. usirely sana kwenye unachokiamini mkuu.. watu tunaona mambo kwa mitazamo tofauti.

We can't all see things kwa mlengo mmoja. Na haimaanishi unachokiamini kinaweza kuwa applied universally. People may have different perspectives kulingana na experiences na still zikawa applicable. Kumcrash totally inaweza isiwe good idea sometimes. Allow flexibility kwenye mijadala, ili isionekane kama unadeliver jambo watu walipokee kama lilivyo na walielewe hivyohivyo na hakuna kuongeza chochote.. Sorry, nisieleweke vibaya mkuu

The Icebreaker
 
Ni kama umeamua kumtolea uvivu huyo mchangiaji.. japo naona ana hoja.. usirely sana kwenye unachokiamini mkuu.. watu tunaona mambo kwa mitazamo tofauti.

We can't all see things kwa mlengo mmoja. Na haimaanishi unachokiamini kinaweza kuwa applied universally. People may have different perspectives na still zikawa applicable. Kumcrash totally inaweza isiwe good idea sometimes. Allow flexibility kwenye mijadala, ili isionekane kama unadeliver jambo watu walipokee kama lilivyo na walielewe hivyohivyo na hakuna kuongeza chochote.. Sorry, nisieleweke vibaya mkuu

The Icebreaker
Actually, jamaa nilimwelewa na nina plan kufanyia kazi ushauri wake..

Ila Kuna comment nilitoa huko nyuma ndo kazichukua jinsi zilivyo na kuanza kuni attack

Najua udhaifu wangu, ila yeye ana jifanya kunijua zaid ya vile nijijuavyo mimi

And that's like telling me what to do
 
No, try not to get a such far.. take it easy mkuu
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?
Hili ndilo jibu mwanamke ni ngumu sana kumtia adabu(Kufunzwa na ulimwengu) kama ilivyo kwa watoto wa kiume.

Hasa akiwa mzuri kiumbo ni changamoto sana, kwanza analewa sifa za mashosti na masera, Pili akijicheki kunamatumaini anayapata mtu kama huyu ataishia kwenye akili za usichana pale [foolish age]...

Hatakutana na changamoto itakayomfanya awe matured enough cause wazuri ni wachache hivyo demand yao kwenye jamii ni kubwa... Hivyo anakua anaringa na hata kutana na maisha halisi yale atakua anaishi kwenye maisha ya fantasy.

Wanawake wazuri sometimes wanawadharau hadi wazazi wao kutokana nawanavyohitajika huko kitaa, na kitaa nako masera lazima ujitutumue/ ufake life style... fantasy kwa sana ili ku-meet mahitaji yake kama huwezi au unataka eti ajue ku-badget maisha hizo sio shida zake anaenda kwa mwingine anaeweza kumtunza vile atakavyo.

Hivyo anakuwa anaishi maisha ya dezodezo/anadekezwa sasa akili itakuwa lini.

Dawa yao yakuamka kiakili inakuwaga moja tu mimba afu awe single mother zile hustle atakazokutananaza ndio ponapona yake anaaza kutanuka kifikra na kujua maana halisi ya maisha.

Single mother wengi wanaangukia hapa.
 
Ni kama umeamua kumtolea uvivu huyo mchangiaji.. japo naona ana hoja.. usirely sana kwenye unachokiamini mkuu.. watu tunaona mambo kwa mitazamo tofauti.

We can't all see things kwa mlengo mmoja. Na haimaanishi unachokiamini kinaweza kuwa applied universally. People may have different perspectives kulingana na experiences na still zikawa applicable. Kumcrash totally inaweza isiwe good idea sometimes. Allow flexibility kwenye mijadala, ili isionekane kama unadeliver jambo watu walipokee kama lilivyo na walielewe hivyohivyo na hakuna kuongeza chochote.. Sorry, nisieleweke vibaya mkuu

The Icebreaker
Hii ndiyo maana halisi ya kuwa great thinker.
 
Back
Top Bottom