Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Ukifika kwa wenye makebo makubwa nitag tu nikufungulie
 
Dawa yao yakuamka kiakili inakuwaga moja tu mimba afu awe single mother zile hustle atakazokutananaza ndio ponapona yake anaaza kutanuka kifikra na kujua maana halisi ya maisha.

Single mother wengi wanaangukia hapa.
Kaka Maisha jinsi yalivyo kuna watu will get away with almost everything, kuna watu walizalishwa wakawa single mother of 2 or 3 na bado wakapata mwanaume akampenda yeye na wanae na akamlea softly, mtu kama huyu dunia inaweza isimguse katika kumfunza mpaka anazeeka mpaka anakufa, Japo watu wa hivi wanaweza wasiwe wengi ila wapo.

Nakubaliana na maelezo yako yote ya mwanzo.

Mwanamke ukizaliwa ukajikuta mzuri, hata usipotumia part fulani ya akili yako utaishi tu vizuri, lakini kuishi huko vizuri sio kwamba hawatumii akili kabisa, kuna part wanaitumia ile inayohusika na manipulative skills kama moja ya skills za kusurvive.
 
Hili ndilo jibu mwanamke ni ngumu sana kumtia adabu(Kufunzwa na ulimwengu) kama ilivyo kwa watoto wa kiume.

Hasa akiwa mzuri kiumbo ni changamoto sana, kwanza analewa sifa za mashosti na masera, Pili akijicheki kunamatumaini anayapata mtu kama huyu ataishia kwenye akili za usichana pale [foolish age]...

Hatakutana na changamoto itakayomfanya awe matured enough cause wazuri ni wachache hivyo demand yao kwenye jamii ni kubwa... Hivyo anakua anaringa na hata kutana na maisha halisi yale atakua anaishi kwenye maisha ya fantasy.

Wanawake wazuri sometimes wanawadharau hadi wazazi wao kutokana nawanavyohitajika huko kitaa, na kitaa nako masera lazima ujitutumue/ ufake life style... fantasy kwa sana ili ku-meet mahitaji yake kama huwezi au unataka eti ajue ku-badget maisha hizo sio shida zake anaenda kwa mwingine anaeweza kumtunza vile atakavyo.

Hivyo anakuwa anaishi maisha ya dezodezo/anadekezwa sasa akili itakuwa lini.

Dawa yao yakuamka kiakili inakuwaga moja tu mimba afu awe single mother zile hustle atakazokutananaza ndio ponapona yake anaaza kutanuka kifikra na kujua maana halisi ya maisha.

Single mother wengi wanaangukia hapa.
Umeenda mlemle kabisa mkuu Nitakuja kuongeza nyama na mm
 
Kaka Maisha jinsi yalivyo kuna watu will get away with almost everything, kuna watu walizalishwa wakawa single mother of 2 or 3 na bado wakapata mwanaume akampenda yeye na wanae na akamlea softly, mtu kama huyu dunia inaweza isimguse katika kumfunza mpaka anazeeka mpaka anakufa, Japo watu wa hivi wanaweza wasiwe wengi ila wapo.

Nakubaliana na maelezo yako yote ya mwanzo.

Mwanamke ukizaliwa ukajikuta mzuri, hata usipotumia part fulani ya akili yako utaishi tu vizuri, lakini kuishi huko vizuri sio kwamba hawatumii akili kabisa, kuna part wanaitumia ile inayohusika na manipulative skills kama moja ya skills za kusurvive.
Naona umeelewa mada, vizuri sana
 
Umeenda mle mle na kuongeza nyama
Ebu fanya kama unamtaja huyo mwakilishi.. 😅

Actually ni dhana potofu na kuwa tajirisha wauza vipodozi, huku wakisahau wanapamba kitu cha muda tu. Bila kuona ni bora niwe mzuri nje na pia thamani yangu iendane na uzuri wangu
😀😀😀🙌🏿🙌🏿 Acha niishie hapa tu mkuu.
 
Back
Top Bottom