Kumbe unaongelea hao wawili, Mimi naangalia duniani kote mademu wazuri wanaenda Hollywood na sehemu zinazohitaji sura nzuri. Uliona wapi mbaya akaburudisha watu?Ukisha Sema expensive unakuwa umeingia kwenye viwango, tu lakini ni wale wale...
Kwani wa kina kajala, kina giggy money vipi, si wale wale kasoro tarehe?
I don't give a shit..Huko juu kuna mtu kakuuliza ''Akili ni nini?'' badala ya kumjibu na wewe ukamuuliza ''Hujui akili ni nini?''
Unajua ni kwanini alikuuliza hilo sawali?
Unaposema real life reality una maanisha nini?
Kuna research yeyote inayothibitisha madai yako? au unatumia tu hisia kutokana na aina ya watu waliokuzunguka huko?
Mada za aina hii hua hazijibiwi au kujadiliwa kwa hisia,unatakiwa utambue hilo kwanza,
Kingine unapoleta mada jaribu kua neutral ili watu wachangie,
Mada zako nyingi ukisha ziweka hapa,kinachofuata hua unajikoki kubishana na kumpiga kila atakayekua na mawazo kinzani na wewe! mijadala hua haiendi hivyo kijana.
Sasa wewe ndo huna akili.
Mkuu Mbona unaanza kuleta critics tena? Kwa hiyo beauty standard ina kuwa measured na wapi mtu yuko? That's an illusion kuna wanawake wakali wametuzunguka acha ubaguziKumbe unaongelea hao wawili, Mimi naangalia duniani kote mademu wazuri wanaenda Hollywood na sehemu zinazohitaji sura nzuri. Uliona wapi mbaya akaburudisha watu?
Na wewe unakubaliana na aliyesema mademu wazuri hawana akili?Mkuu Mbona unaanza kuleta critics tena? Kwa hiyo beauty standard ina kuwa measured na wapi mtu yuko? That's an illusion kuna wanawake wakali wametuzunguka acha ubaguzi
Ukweli ni upi sasa?Siyo kweli usituaminishe uongo
Na kubaliana na wewe kwa kiasiMkuu ulichokisema ni kweli 💯
Ila mi naamini mentality yetu wanaume ndio imepelekea wanawake wawe hivyo,
Mfano huyo demu uliemDm insta akakuomba elfu kumi basi wapo wengi wanaotuma
Tumeharibu mentality ya wanawake kwasababu ya mtazamo wetu kwao
Macho yanaona cha nje...usisahau uzuri upo kwenye macho ya mtu ndo maana kila mtu anayo mapendeleo yake,we unaweza kuona mtu/ kitu ni kizuri ila mwenzio asivutiwe nacho, labda utupie ka picha tuone wanawake wazuri kwako wapoje
Umeenda mle mle na kuongeza nyamaImagine mtu ni mweupe alaf bado anapaka mkorogo, imagine mtu anaenda kuongeza tako na anayo yake, fikiria mtu ana kope anabandika kope nyingine, fikiria anakucha anabandika zingine za plastic, imagine mtu ananyoa nyusi zote halafu anapaka wanja nk. Mlevi mmoja ni sawa na wanawake 100 wa hivi hatakama kilammoja ana degree 4 kama yule mwakilishi wao.
Okay nitazingatia hili mkuuHuko juu kuna mtu kakuuliza ''Akili ni nini?'' badala ya kumjibu na wewe ukamuuliza ''Hujui akili ni nini?''
Unajua ni kwanini alikuuliza hilo sawali?
Unaposema real life reality una maanisha nini?
Kuna research yeyote inayothibitisha madai yako? au unatumia tu hisia kutokana na aina ya watu waliokuzunguka huko?
Mada za aina hii hua hazijibiwi au kujadiliwa kwa hisia,unatakiwa utambue hilo kwanza,
Kingine unapoleta mada jaribu kua neutral ili watu wachangie,
Mada zako nyingi ukisha ziweka hapa,kinachofuata hua unajikoki kubishana na kumpiga kila atakayekua na mawazo kinzani na wewe! mijadala hua haiendi hivyo kijana.
Zingatia ushauri ulilopewa huko juu, bado haujajua nini maana ya kuleta mjadala jukwaani.We jamaa ume data sio bure😂
Unayetaka aungane na wewe kwa hoja ya kijinga kama hii soma kwa ufahamu alicho nijibu , halafu linganisha na majibu unayotoa wewe.Huyo jamaa ni feminists...
Huwa anapinga facts na ujinga aliomezeshwa ukikaa kijinga ana Leta manipulative logic isiyo ya msingi
Hajui ya kuwa mwanaume ndo mlengwa mkuu, eti anasema kuna wanaume wana jisifia makebo ka wanawake
Zimo kweli😂😂😂😂
Azingatie sana hapa ulipo mshauri.Kingine unapoleta mada jaribu kua neutral ili watu wachangie,
Mada zako nyingi ukisha ziweka hapa,kinachofuata hua unajikoki kubishana na kumpiga kila atakayekua na mawazo kinzani na wewe! mijadala hua haiendi hivyo kijana.
Rudia kusoma kwa utulivu nilichojibu.Hebu tupe takwimu wewe kila hoja unaleta ubishi tu