Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Ulipigwa pesa kidogo mkuu, alikuhurumia sana. Watu huchaji laki, kukupa namba ya simu tuu. 😊
Hili kwangu ni jipya isee!

Kwa hiyo ukiuziwa hiyo namba, aliyekuuzia haruhusiwi kukublock?

Na je haruhusiwi kukupiga chini pindi unapomtongoza?

Nimeuliza maswali haya ili kupima impact baada ya tendo hilo la kuhonga!

Fikiria mtu anayepata malipo kabla ya kufanya kazi namna anavyokuwaga msumbufu!

Hiyo laki haiwezi kuliwa bure kweli?
 
Kama kwenye hili umekazia,
Ukiwa unatoka job chochoroni ntakuvizia,
Na kama utajaribu kunikimbia,
Kelele za mwizi ntakupigia,
Kumbuka nina nguvu na ukiniona utanikimbia,
zaidi ya yule Pawa Mabula nakuambia,
Kila anayeniona huwa ananishangaa,
Nimepanda hewani sekunde njiani naambaa ambaa.
 
Hili kwangu ni jipya isee!

Kwa hiyo ukiuziwa hiyo namba, aliyekuuzia haruhusiwi kukublock?

Na je haruhusiwi kukupiga chini pindi unapomtongoza?

Nimeuliza maswali haya ili kupima impact baada ya tendo hilo la kuhonga!

Fikiria mtu anayepata malipo kabla ya kufanya kazi namna anavyokuwaga msumbufu!

Hiyo laki haiwezi kuliwa bure kweli?
Issue ni kuwa wanaume wana romanticize kufanyiwa haya mambo..

Mtu akipigwa anaonekana ni kituko tu badala ya kuangalia aliye Fanya tukio
 
Kumbuka nina nguvu na ukiniona utanikimbia,
zaidi ya yule Pawa Mabula nakuambia,
Kila anayeniona huwa ananishangaa,
Nimepanda hewani sekunde njiani naambaa ambaa.
Siwezi kukimbia mana sina hzo tabia,

Wewe unalewa Coca wenzako wanalewa bia,

Ninakuvunja uti matibabu nalipia,

Nikija kazini kwako kwa bosi nakuharibia..
 
Siwezi kukimbia mana sina hzo tabia,

Wewe unalewa Coca wenzako wanalewa bia,

Ninakuvunja uti matibabu nalipia,

Nikija kazini kwako kwa bosi nakuharibia..
Nakupiga kwa dharau hadi nakuua,
kabla sijakupiga nanyetika yaani najichua,
kabla sijajichua nakupa kwanza nguo zangu unazifua,
Kabla hujazifua naamuru unipikie kachori na bagia,
kisha unapasafisha pale kuku wanakotagia,
Yaani ni mlolongo mrefu hadi utanichukia.
 
Aliniambia niko na malaria kisa nilimwambia sina salio baada ya kuniomba nimpigie…
 
Nakupiga kwa dharau hadi nakuua,
kabla sijakupiga nanyetika yaani najichua,
kabla sijajichua nakupa kwanza nguo zangu unazifua,
Kabla hujazifua naamuru unipikie kachori na bagia,
kisha unapasafisha pale kuku wanakotagia,
Yaani ni mlolongo mrefu hadi utanichukia.
Sasa rasmi leo nimepata kujua,

Demu wako alisema kitandani unasuasua,

Kumbe huwa unamchenga unaenda toi unajilipua,

Ukilisogeza shavu makofi ntakuzabua,
 
Back
Top Bottom