Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Umefanya generalization Mzee baba.
Sidhani kama ina make sense.
Akili zina specifications nyingi.
Uzuri wa demu specifications ni tofauti kwa mtazamo wa mtu na mtu.
 
Umefanya generalization Mzee baba.
Sidhani kama ina make sense.
Akili zina specifications nyingi.
Uzuri wa demu specifications ni tofauti kwa mtazamo wa mtu na mtu.
Ila Kuna psychological and environmental factor that add up to that too..
 
Sina hakika kama kweli waifu unambomoa,,

Nilikwona kwenye uzi ule wa wa kataa ndoa,,

Kwenu sio Mbezi wote tunajua ni Kondoa,

Vumbi linapopausha kama umejipodoa,
Wife ninaye na na ninamwita ua,
Nikiweka picha yake wivu utawaua,
ni mweupe sana kama pepa au jua,
nashangaa hamuoi au bado hamjakua?
Au Kwa sababu kitandani mnasuasua?
ok, nadhani ni kwa sababu mifukoni mna miamia.
 
Is it that ego zao zinawapumbaza?

Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..

Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.

Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?

Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..

Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Ahahaha kiongoz
 
Wife ninaye na na ninamwita ua,
Nikiweka picha yake wivu utawaua,
ni mweupe sana kama pepa au jua,
nashangaa hamuoi au bado hamjakua?
Au Kwa sababu kitandani mnasuasua?
ok, nadhani ni kwa sababu mifukoni mna miamia.
Unamuita flower ngoja aje kukuua,

Wanawake ni hatari bora kuumwa surua,

Kila siku mwili wako unazidi kupungua,,

Sijui unakaa Ubongo na huko wanakubungua??

Al-mukheef
 
Ni kweli cha msingi niombee dua,
Nikiachwa malaya nitanunua,
Nitakula ARV afya ikisuasua,
Nikidharauliwa nitalialia.
Siwezi kuhangaika mi kwako kuomba dua,,

Sababu mambo madogo unashindwa kung'amua,,

Nacheka na wewe nyani lakini sivuni Bua,,

Ningekuwa Magufuli mi ningeshakutumbua,,
 
Mkuu ulichokisema ni kweli 💯

Ila mi naamini mentality yetu wanaume ndio imepelekea wanawake wawe hivyo,
Mfano huyo demu uliemDm insta akakuomba elfu kumi basi wapo wengi wanaotuma

Tumeharibu mentality ya wanawake kwasababu ya mtazamo wetu kwao
Sahihi, tamaa za wanaume pia zinachangia sana.
 
Siwezi kuhangaika mi kwako kuomba dua,,

Sababu mambo madogo unashindwa kung'amua,,

Nacheka na wewe nyani lakini sivuni Bua,,

Ningekuwa Magufuli mi ningeshakutumbua,,
Mambo yameniendea kombo japo wanaiita chuma Cha pua,
Nilidhani mwisho wa Dunia ni pale jua linakotua,
kumbe tatizo ni kwba bado kiakili sijakua,
mambo mengi ndo nazidi kuyaona na kuyajua,
Basi ni bora ukaniona mkosefu na hivyo kunihurumia.
 
Back
Top Bottom