Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Mwanamke mzuri ndiye yupi? Yaani unatumia vigezo gani hadi kuhitimisha kwamba huyu ni mzuri na huyu si mzuri?
Uzuri wa nje, physical beauty

Hii inategemea na mtu ila ile normal beauty standard ambayo wanadamu tumejiwekea
 
Uzuri wa nje, physical beauty

Hii inategemea na mtu ila ile normal beauty standard ambayo wanadamu tumejiwekea
Hii ‘normal beauty standard’ ndio ipi!? unaweza kutoa mifano kuonesha kwamba mwanamke akiwa hivi basi huyo ndiye ‘normal beauty standards ?
 
Hii ‘normal beauty standard’ ndio ipi!? unaweza kutoa mifano kuonesha kwamba mwanamke akiwa hivi basi huyo ndiye ‘normal beauty standards
IMG_20260612_123731_970.jpg
 
Back
Top Bottom