Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Kwa shemejiNimedanganya naumwa, so nipo tuu nakula na kulala.
Kwa shemejiNimedanganya naumwa, so nipo tuu nakula na kulala.
Siku hizi kiswahili chako kimenyooka sana.Tuisheni imesaidia.Ameni!🫸🫷Kaka zangu, mada hii imenigusa sana na ni kweli, wakati mwingine tunaweza kujikuta tunatoa generalizations kutokana na tunachokiona au uzoefu wetu. Lakini nadhani ni muhimu sana kukumbuka kuwa kila mtu ni ulimwengu wake na hatuwezi kuwaweka wote kwenye kundi moja.
Uzuri wa nje ni kitu kinachovutia jicho haraka, na ni kweli wapo wanaoipa kipaumbele kikubwa. Lakini akili na busara mara nyingi hazionekani kwa haraka kama make-up au mavazi maridadi. Pia, akili ina sura nyingi; kuna akili ya darasani, akili ya maisha, akili ya biashara, akili ya kujali wengine, n.k.
Badala ya kukata tamaa, labda tunaweza kujipa muda zaidi kuwafahamu watu kwa undani. Wakati mwingine, mtu anaweza kuwa na uzuri wa nje na ndani, ila tu anahitaji mtu ambaye yuko tayari kuchimba zaidi kugundua huo uzuri wa ndani.
Kama ilivyosemwa, kupata 'full package' ni kweli ni jackpot, na naamini zipo, na sio chache! Labda zinahitaji uvumilivu na macho ya kuona zaidi ya uso. Tusikate tamaa kutafuta watu wenye akili na busara, bila kujali muonekano wao. Ni suala la kujua kipaumbele chako ni nini hasa kwenye mahusiano.
Umesoma philosophy lakini? Katika kusoma kwangu sijawahi kukutana na jambo linaloangukia kwenye field ya mtego, ila yote huenda kwenye fields bainifu.Hapana limekaa kimtego, hebu lijibu uone
Kwani beauty standard huzijui,Umesoma philosophy lakini? Katika kusoma kwangu sijawahi kukutana na jambo linaloangukia kwenye field ya mtego, ila yote huenda kwenye fields bainifu.
Labda uniambie kimtego ni nini na mimi nikwambie philosophy ni nini
Ndio hizo nakwambia ni mambo ya kifilosofia, wewe umesema kimtego. Kwiyo hizo beauty standards ni za kimtego?Kwani beauty standard huzijui,
Anataka approve kuwa haipo, na ni kitu cha kujitengenezea
Ndio hizo nakwambia ni mambo ya kifilosofia, wewe umesema kimtego. Kwiyo hizo beauty standards ni za kimtego?
Then najua hakuna universal standard ya uzuri. May be unisaidie nipate kujua
Kwanini uchague ndalichako? Kwamba hakuna ambao ni wazuri kuliko huyo? Kama wapo maana yake bado hujaproveView attachment 3620300
Ukiona hiyo pisi ukamwona na ndalichako utamchagua nani?
Ni kama wewe ulivyoamua kumuweka na ndalichako badala ya kumuweka na mzuri kuliko yeye.Kwanini umweke pembeni kwani si hamna beauty standard?
Mbona unajitekenya na kuji kuna wewe mwenyewe?Ni kama wewe ulivyoamua kumuweka na ndalichako badala ya kumuweka na mzuri kuliko yeye.
Nimekwambia universal standard. Huyo unaemuona mzuri sio kila mmoja anamuona mzuri. Ukihoji watu bado utapata ambao watakwambia huyo sio mzuri kulingana na vigezo vyao.
Labda nikuulize swali dogo, hakuna wanaomzidi uzuri huyo? Kama wapo, umezingatia nini kuona hao wanaomzidi wamemzidi?
Hapa ndio unapofeli dogo. Mtu anataka umjibu hoja aione, wewe unamwambia ipo wazi.Mbona unajitekenya na kuji kuna wewe mwenyewe?
Hoja iko wazi kabisa hiyo!
Mkuu nimekwambia a what's real in real life and psychological too,Hapa ndio unapofeli dogo. Mtu anataka umjibu hoja aione, wewe unamwambia ipo wazi.
Inaonyesha pia uelewa wako upo chini sana, zaidi umetawaliwa na mwongozo wa hisia zako. Cha kukushauri, mada za mapenzi zitakufaa ila zinazohitaji critical thinking unapelea sana na zinakupalia ndio maana unaishia kuona watu wanakuandama..
Otherwise, stick on what you believe, I can't do it anymore. Thank you
Umerudi palepale mwenyewe.Mkuu nimekwambia a what's real in real life and psychological too,
What we call beauty standard ni namna tulivyo jiwekea binadamu kuwa huyu mtu ni mzuri, na kweli pia kuna genetic factors leading to it, mtu atampenda mtu anaye fanana labda na mama yake sometimea
Mtu mwingine atampenda mwanamke mwenye tako kubwa because it's what he likes, mwingine atampenda thick and slim labda kwa sababu anafanana na celebrity crush toka udogoni
It's a social and psychological construct ila hauwezi kusema haipo, ipo na ina exist.. Ndo jinsi tutumiayo kuchagua mwenza na wa kuchapa mashine Tukiwa na haja..
So, na elewa na hata wewe unaelewa it is just that tunakaza mafuvu hicho ndo kitu sikubali kwa watu kama nyie humu...
You knew it, but still test on someone to clarify
Ok sawa, kwamba akili zipo ila hajazielekeza kwenye u-wife material. Bali kajikita kuzitumia katika fursa kulingana na potential aliyonayo ukizingatia usawa huu[zama hizi].Kaka Maisha jinsi yalivyo kuna watu will get away with almost everything, kuna watu walizalishwa wakawa single mother of 2 or 3 na bado wakapata mwanaume akampenda yeye na wanae na akamlea softly, mtu kama huyu dunia inaweza isimguse katika kumfunza mpaka anazeeka mpaka anakufa, Japo watu wa hivi wanaweza wasiwe wengi ila wapo.
Nakubaliana na maelezo yako yote ya mwanzo.
Mwanamke ukizaliwa ukajikuta mzuri, hata usipotumia part fulani ya akili yako utaishi tu vizuri, lakini kuishi huko vizuri sio kwamba hawatumii akili kabisa, kuna part wanaitumia ile inayohusika na manipulative skills kama moja ya skills za kusurvive.
Unfanya generalization.?Hapana ni mtu na mtu, ila wazuri wengi mbumbumbu