Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Mambo yameniendea kombo japo wanaiita chuma Cha pua,
Nilidhani mwisho wa Dunia ni pale jua linakotua,
kumbe tatizo ni kwba bado kiakili sijakua,
mambo mengi ndo nazidi kuyaona na kuyajua,
Basi ni bora ukaniona mkosefu na hivyo kunihurumia.
Bora umelitambua kiakili hujakuwa,,

Kama ingekuwa samaki basi wewe ni kibua,,

Na pia pata kujua huwezi kunisumbia,

Huo weupe so wako ila wa kujichubua
 
Bora umelitambua kiakili hujakuwa,,

Kama ingekuwa samaki basi wewe ni kibua,,

Na pia pata kujua huwezi kunisumbia,

Huo weupe so wako ila wa kujichubua
Nimejishusha tu kidogo ushaanza kutanua,
nikiwa aggressive tu kidogo kilio unaangua,
Nukikunja sura kama ganda la limau mbio unatimua,
ukifika kwa mama yako habari zangu unasimulia.
 
Nimejishusha tu kidogo ushaanza kutanua,
nikiwa aggressive tu kidogo kilio unaangua,
Nukikunja sura kama ganda la limau mbio unatimua,
ukifika kwa mama yako habari zangu unasimulia.
Umenikwaza kinoma nakutandika karati,

Afu nachukua nyundo nakuezeka kama bati,

Hutokuja fika dar utaishia shirati,

Wewe mwembamba af unaleta hisia za u-fat
 
Umenikwaza kinoma nakutandika karati,

Afu nachukua nyundo nakuezeka kama bati,

Hutokuja fika dar utaishia shirati,

Wewe mwembamba af unaleta hisia za u-fat
Nakuadhibu mbele ya umati,
nakuamuru uvue boksa na shati,
kisha nakukalisha kwenye kiti,
naagiza fimbo nyingi yaani miti,
kitakachofuatia ni mtiti.
 
Back
Top Bottom