Hivi kwanini Mafundi Seremala wanakuwa waongo waongo na kuchelewesha Mambo?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Hii kada ya utaalam ambayo ni muhimu sana kwenye ujenzi wa taifa naona bado wengi wao hawajielewi.

Yaani kazi ya kufanya siku moja tu naukamaliza yeye anaifanya wiki nzima.
Kwao muda sio mali tena.

Kuamka kazini tu anaingia saa tatu.

Je kwa mtindo huu tutamsaidia Rais Dr Samia kuinua uchumi wa taifa?

Shida ni nini hasa kwa hawa wataalam?
 
Kila siku njoo kesho.
 
Hapa sio mafundi selemala tu karibu mafundi wote wanamatatizo yanayo fanana pamoja na utapeli. Mwezi uliopita nilipeka kitambaa kwa fundi ili anishonee suti ya kwendea ukweni lakini ajabu siku tulikubaliana nikachukue kama wiki mbili hivi aisee sikuamini macho yangu kitambaa nilikikuta kiko vile vile yule fundi nilimupiga kichwa kimoja chali akazimia nikasepa na kitambaa changu
 
Heheeee unaweza ukala mtu kichwa.

Sijui huwa wana shida gani.

Je ni uvivu au kukosa ubunifu? Why wasipangilie kazi zao vizuri?
 
Hii kada ya utaalam ambayo ni muhimu sana kwenye ujenzi wa taifa naona bado wengi wao hawajielewi.

Yaani kazi ya kufanya siku moja tu naukamaliza yeye anaifanya wiki nzima.
Kwao muda sio mali tena.

Kuamka kazini tu anaingia saa tatu.

Je kwa mtindo huu tutamsaidia Rais Dr Samia kuinua uchumi wa taifa?

Shida ni nini hasa kwa hawa wataalam?
Rais anahusikaje hapo na maswala ya mbao. Kwani anawaletea au wanazitafuta!
Soma kwenye maandiko!!
Yusuf mwana wa seremala!
 
mafundi ni waongo sana unakuta ana kazi nyingi lakini hataki kukataa wateja ni mnapangwa tu
Lakini akipanga maana yake hawezi kucheleweaha woote kuna watakao pata kazi zao mapema and may be wachache watachelewa lakini hawa mafundi unapeleka kitambaa wiki moja wiki mbili unakikuta kiko vile vile
 
Rais anahusikaje hapo na maswala ya mbao. Kwani anawaletea au wanazitafuta!
Soma kwenye maandiko!!
Yusuf mwana wa seremala!
Tunatafakari pamoja kwa sababu hizi ni.kazi zinajenga Uchumi na kumuunga mkono Rais kwenye adhima yake ya kuleta maendeleo ya Taifa.
 
Hapa sio mafundi selemala tu karibu mafundi wote wanamatatizo yanayo fanana pamoja na utapeli. Mwezi uliopita nilipeka kitambaa kwa fundi ili anishonee suti ya kwendea ukweni lakini ajabu siku tulikubaliana nikachukue kama wiki mbili hivi aisee sikuamini macho yangu kitambaa nilikikuta kiko vile vile yule fundi nilimupiga kichwa kimoja chali akazimia nikasepa na kitambaa changu
Mkuu kwanini hainunui suti dukani?
 
Hii kada ya utaalam ambayo ni muhimu sana kwenye ujenzi wa taifa naona bado wengi wao hawajielewi.

Yaani kazi ya kufanya siku moja tu naukamaliza yeye anaifanya wiki nzima.
Kwao muda sio mali tena.

Kuamka kazini tu anaingia saa tatu.

Je kwa mtindo huu tutamsaidia Rais Dr Samia kuinua uchumi wa taifa?

Shida ni nini hasa kwa hawa wataalam?

Wengine wanahitaji umeme na Tanesco mgogoro
 
Zinaweza zisiandanw na vipimo vyako vya mwili
Labda kama unataka Suti ya Prod Kabudi
Hapana unatakiwa ujue vipimo vya mwili wako, kuna rafiki yangu alimnunulia suti ila aliniambia nikapime vipimo kwa fundi, nikaenda kupima kiuno, urefa, paja, upana wa mabega na kifua na urefu wa mkono, we nenda YouTube kaangalie jinsi ya kujipima vipimo vya suti.
 
Ok
 
Hii kada ya utaalam ambayo ni muhimu sana kwenye ujenzi wa taifa naona bado wengi wao hawajielewi.

Yaani kazi ya kufanya siku moja tu naukamaliza yeye anaifanya wiki nzima.
Kwao muda sio mali tena.

Kuamka kazini tu anaingia saa tatu.

Je kwa mtindo huu tutamsaidia Rais Dr Samia kuinua uchumi wa taifa?

Shida ni nini hasa kwa hawa wataalam?

Tafuta mafundi nje ya mkoa wako.
Mfano, kama uko Dar chukua mafundi Arusha, hawatakuwa na muda wa kuchezea na watachapa kazi kwa bodi ili wamalize kazi na kurudi makwao.
 
Siyo wanakuwa waongo waongo na kuchelewesha mambo, bali ni matapeli pia.Kuna fundi nilimpaga kazi anifanyie jioni yake akahama mkoa kabisa. Mimi huwa sipendi kudaiwa hivyo nilimpa hela yote na nilijiaminisha sababu naishi karibu na ofisi yake.Aise bro kama upo humu nakuambia milima haikutani ila binadam wanakutana.
 
Hujakutana na mafundi nguo wewe!! Hao ndiyo waongo mpaka basi.
 
Back
Top Bottom