Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #41
HeheheFundi nguo anaweza ata akajiongopea yy mwenyewe...akajipiga kalenda..
Mimi huwa nafanya hv...kama nguo ntaivaa wk mbili mbele,huwa simwambii ukweli,namwambie baada ya sku 5 nguo inatakiwa ishakamilika kuna shughuli...baada kabla ya sku ya tano kufika unamstua...
Kama hajamaliza atajihimu hyo sku ya tano akamilishe,ata kama haijakamilika unampa siku mbili za ziada..
Fundi mkweli ni kinyozi...