Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Hahaha......pole sanaSiyo wanakuwa waongo waongo na kuchelewesha mambo, bali ni matapeli pia.Kuna fundi nilimpaga kazi anifanyie jioni yake akahama mkoa kabisa. Mimi huwa sipendi kudaiwa hivyo nilimpa hela yote na nilijiaminisha sababu naishi karibu na ofisi yake.Aise bro kama upo humu nakuambia milima haikutani ila binadam wanakutana.