Hivi kwanini Mafundi Seremala wanakuwa waongo waongo na kuchelewesha Mambo?

Hahaha......pole sana
 
Siku hizi tulisha koma kwenda kwa mafundi alamala sababu hiyo kazi wameigia wenye hela kila ukitakacho unakuta kiko tayali
 
Sekta nyingi hazijarasimishwa hivyo zimejaa wababaishaji tu, bei elekezi za vitu hakuna ilimradi tu tafrani.

Mfano mi sinunui kitu kwa machinga kabisa labda kwa emergency. Bidhaa elfu 9 mtu anaanzia elfu 20 ili msumbuane wee kuongea na kupotezeana muda 🗑️
 
Asante mkuu,narudi usiku kwenye mitungi yangu mama chanja ananiambia fundi leo kahama alafu ananiuliza tena kwani ulishampa ile hela ya kazi? Aise pombe yote iliisha manin zangu wallah[emoji41]
Hahahaa
 
Yaani nakwambia Tz hadi kichwa kinauma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fundi nguo anaweza ata akajiongopea yy mwenyewe...akajipiga kalenda..


Mimi huwa nafanya hv...kama nguo ntaivaa wk mbili mbele,huwa simwambii ukweli,namwambie baada ya sku 5 nguo inatakiwa ishakamilika kuna shughuli...baada kabla ya sku ya tano kufika unamstua...

Kama hajamaliza atajihimu hyo sku ya tano akamilishe,ata kama haijakamilika unampa siku mbili za ziada..


Fundi mkweli ni kinyozi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…